Admin wa Mashujaa FC yuko ni mbunifu kuliko Maadmin wa Social Media zote za michezo nchini, tumpe maua yake

Hahahahahaha..Tigo huwa wako vzr sana...Airtel mwanzoni walikua vzr...ila sasa kuna muda unafika inabidi kampeni fulani mtumie celebrity....na kila kampeni ina sababu zake na malengo yake
Japo sija enda shule, ila nina ka elimu ka kufatilia mambo ya teknolojia.
Hizi kampuni huwa Zina anthem yake, ukiona au kusikia una jua tu.

Tigo Wana kale ka mdundo ka tuntu, au ile live it, love it.
Voda Wana yajayo Yana furahisha, au supa kasi, Kuna ile sauti ya Jamaa akiongea hii ni 🔥🔥.
Airtel naona ana kurupuka Sana, team yake ni nyepesi,
 
Hahahahaha..eti hujaenda shule mbn wengi hatujaenda shule ? Sijajua kwa sasa wako na Agency gani hivyo siezi kujibu hasa tatizo nn , ila km umeona upungufu basi upo
 
Mi sijaenda kweli, hata lugha nili unga unga - mwisho nika i master.
Halafu mbona wote wana fanya kimazoea??.
Au ndo kuridhika??, Maana huduma mbovu, hata Baadhi ya maeneo huduma Ina zingua?!
 
Hahahahahaha..dah haya bhana

Kufanya kimazoea au kuridhika? Huduma mboovu na kuzingua huduma kwa baadhi ya maeneo hiyo sasa sio kazi ya Agency wala Advertising hiyo nadhani ni watu wa Technical na Technology mie sidhani km naeza nikakujibu vzr
 
Hahaha, mkubwa bado haamini.

Nime zungumzia upande wa technical.
sema Kama una jiweza wekeza kwenye kusambaza huduma ya internet majumbani.
 
Hahahahahaha...hili la mwisho la maana niliwahi kuwaza kuweka ktk kijiwe fulani mtaani ila bado sijajua vzr ..majumbani naona giants washaanza ingia km Zuku .Ila wazo zuri sana Mkuu
 
Screenshot_20240226-221227.png
 
Hahahahahaha...hili la mwisho la maana niliwahi kuwaza kuweka ktk kijiwe fulani mtaani ila bado sijajua vzr ..majumbani naona giants washaanza ingia km Zuku .Ila wazo zuri sana Mkuu
Mkubwa gape bado ni kubwa Sana, ma giant Wana lega mno.
Wengi Hawaja Zama ndani ndani, ila Wana ishia mijini.

Hata huko mikoani, Wana ishia kuringia wateja.
Miksa huduma isiyo thabiti, kijana naona Fursa nyingi- sema bado sija pata wa kunitoa tutoke. Tresor Mandala
 
fatilia page ya jkt tanzania jamaa ana kamusi ya menono yote
 
Back
Top Bottom