hivi hizi picha za AI Kuna ujuzi Gani unaotumika kuzitengeneza?
Kuna app inatumika ? please mwenye abc na hizi picha nazipenda Sana ππ
Wachawi hua wanajuana kwa hiyo na wewe ni mchawi piaKuna mtu anauza ungo na vibuyu, vitakufaa sana maana una sifa zote za mchawi.
Ni zenyewe mkubwaHizo graphics sio AI ?
Kama ni zenyewe basi yuko vzr sana..nilichelewa kumpa big thumb maana nilihisi ni AINi zenyewe mkubwa
Namaanisha ni ai hiyo, sidhani Kama ana umiza ubongo kihivyo.Kama ni zenyewe basi yuko vzr sana..nilichelewa kumpa big thumb maana nilihisi ni AI
Hahahahahaha hapo tuko pamoja maana mie mwenyewe nimefanya sana kazi na watu wakali wa graphics iwe Animation,2D au 3D ila hiyo touch naona kbs ni AI ..ila yuko vzr ktk contentNamaanisha ni ai hiyo, sidhani Kama ana umiza ubongo kihivyo.
πMaana teknolojia Ime rahisisha mambo.
Ni kweki, ana jitahidiHahahahahaha hapo tuko pamoja maana mie mwenyewe nimefanya sana kazi na watu wakali wa graphics iwe Animation,2D au 3D ila hiyo touch naona kbs ni AI ..ila yuko vzr ktk content
Ila apunguze AI inampunguzia sifa kwa watu km sisi ..binafsi km napewq nafasi ya kuunda timu huyu hayumoNi kweki, ana jitahidi
Mkubwa technology ina chukua nafasi kwa upana miubwa.Ila apunguze AI inampunguzia sifa kwa watu km sisi ..binafsi km napewq nafasi ya kuunda timu huyu hayumo
Fafanua Mzee inampunguzia credit kivipi...Mkubwa technology ina chukua nafasi kwa upana miubwa.
Hiyo ni sehemu ya tool tu, sema kwa ma guru Ina mpunguzia credit.
Graphics raha uumize kichwa mkuu.mie nazijua hizo vzr ukija kwangu na Graphics ya AI sikuchukui .. sasa hizo ni photoshop vipi ktk animation after effects napo atatumia AI ? Na je kama unasimamiwa na mtu pembeni si ataona unakula hela ya bure tuMkubwa technology ina chukua nafasi kwa upana miubwa.
Hiyo ni sehemu ya tool tu, sema kwa ma guru Ina mpunguzia credit.
Sema mkubwa nawe Ume tembea Sana.Graphics raha uumize kichwa mkuu.mie nazijua hizo vzr ukija kwangu na Graphics ya AI sikuchukui .. sasa hizo ni photoshop vipi ktk animation after effects napo atatumia AI ? Na je kama unasimamiwa na mtu pembeni si ataona unakula hela ya bure tu
Nilikua ktk moja ya entertainment company kubwa kitengo cha creative hivyo najua graphic designer mzuri touch zake zikoje
Yupo tofauti na admn wetu simbaPage yake inapendeza sana ...inaonekana hana gubu...moyo wakw umefunguka...
Wabembe, wabwali na wagoma hao wote kwa pamoja ndio wanaitwa wamanyema acha kupotoshaKigoma kuna Makabila zaidi ya 7, Waha ni kabila kuu na kubwa ila kuna Wamanyema, Wabembe, Wabwali, Watongwe n.k so acha kuishi kwa kukariri.
Hahahahahaha...hii Dunia kutembea ni sehemu ya kujifunza tu..au ulikuwa unamaanisha lutembea vipii?Sema mkubwa nawe Ume tembea Sana.