Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Hii ndo nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hawana kombe la maana zaidi ya ngao ya jamii,Hii ndo nini sasa?View attachment 2778111
Taarifa toka tff wanapokea malalamiko kila ijumaa. [emoji23][emoji23]Sasa hawana kombe la maana zaidi ya ngao ya jamii,
Mechi wanashinda Kwa Mbereko
Unafikiri watakuwa wanajiamini kweli?
Hivyo wataokoteza Kila kitu Ili tu wajisikie vizuri na wajifariji
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Taarifa toka tff wanapokea malalamiko kila ijumaa. [emoji23][emoji23]
Ikiuma chomoaHii ndo nini sasa?View attachment 2778111
KUna kasoro?Hii ndo nini sasa?View attachment 2778111
ndio utoto ulivyoHii ndo nini sasa?View attachment 2778111
waache wafurahi kwa mara ya kwanaza kwani miaka miwili walikuwa wanajifungia uvunguni tu kwa kuiogopa rekodi ya yanga. Sisi tatizo letu mwaka huu ni Ihefu tu! Ihefu wametuvuruguia sana miaka miwili mfululizo, sasa acha Simba wale raha zao.Hii ndo nini sasa?View attachment 2778111
Kilichotokea kwa Ihefu tushukuru imetokea mapema sana hivyo kocha sidhani kama atarudia lile kosa. Atakuwa amepata somo kuwa mechi za away ni ngumu hivyo ni kosa kufanya rotation ya kiwango kikubwa vile. Kuna mechi 25 mbele hivyo marathon bado inaendelea kuna mechi za wenyewe kwa wenyewe na kuna timu zingine pia. Anayerahia kuongoza ligi kwa mechi tano wacha wafurahie maana hawajui furaha yao itakuwa lini. Inapopatikana hapo hapo furahia.waache wafurahi kwa mara ya kwanaza kwani miaka miwili walikuwa wanajifungia uvunguni tu kwa kuiogopa rekodi ya yanga. Sisi tatizo letu mwaka huu ni Ihefu tu! Ihefu wametuvuruguia sana miaka miwili mfululizo, sasa acha Simba wale raha zao.