Admin wa Simba apunguze utoto

Admin wa Simba apunguze utoto

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Hii ndo nini sasa?
IMG_8171.jpeg
 
Kweli anatakiwa kupunguza utoto. Maana timu kama Yanga msimu uliopita ilicheza mechi sijui ngapi pasipo kupoteza!

Sasa ligi yenyewe ndiyo kwanza imeanza! Wameshinda mechi 5 tu, tena mechi nyingine timu imeshinda kwa kubebwa na waamuzi vilaza! Halafu anashangilia!!!
 
waache wafurahi kwa mara ya kwanaza kwani miaka miwili walikuwa wanajifungia uvunguni tu kwa kuiogopa rekodi ya yanga. Sisi tatizo letu mwaka huu ni Ihefu tu! Ihefu wametuvuruguia sana miaka miwili mfululizo, sasa acha Simba wale raha zao.
Kilichotokea kwa Ihefu tushukuru imetokea mapema sana hivyo kocha sidhani kama atarudia lile kosa. Atakuwa amepata somo kuwa mechi za away ni ngumu hivyo ni kosa kufanya rotation ya kiwango kikubwa vile. Kuna mechi 25 mbele hivyo marathon bado inaendelea kuna mechi za wenyewe kwa wenyewe na kuna timu zingine pia. Anayerahia kuongoza ligi kwa mechi tano wacha wafurahie maana hawajui furaha yao itakuwa lini. Inapopatikana hapo hapo furahia.
 
Kama mnaona admin wa Simba anakosea kuandika hivyo, basi mwambieni admin wa Yanga naye aandike kuwa mmeshinda mechi 5 kama Wanaume kweli 🤪
 
Yani mmekua kama nzi waliofungiwa...ukifungua kelele wakifungiwa kelele
Sasa usichokielewa hapo ni nini?
wacha ndo kwanzaa tumeanza kila baada ya mechi 5 mnapata updates...mkishindwa kuvumilia mjinyonge...
 
Back
Top Bottom