Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Yani ni balaa unaiingiza hela, ila nyingi inaishia kwenye betting. Mtu hata kupendeza unashindwa ๐ ๐ ๐ ๐Kama mimi ndio kabisaa ishanigharimu sana๐
๐๐๐๐๐Kwamba tukichangia hela ya Ada ya mtoto wa kanji mnaumia ๐
Nishapigwa sana, ukiongeza na Aviator anakula hela utadhani unaziokota๐ ๐ ๐Huyu tayari kishamulamba,ukipigwa ndo akili hua inarudi
Ubaya ni kwamba hata kupendeza mnashindwa, hela zote kwa kanji๐Kwamba tukichangia hela ya Ada ya mtoto wa kanji mnaumia ๐
Bora betting zingine, kuliko Kanji anyekula kilaini๐คฃ๐คฃ๐คฃ . Yani hela umeipambania zaidi ya mwezi inachukuliwa ndani ya nusu saa๐คฃ๐คฃMaisha ya sasa, kila kitu ni Betting.
๐๐๐๐๐
Aisee bora betting ifungiwe ijulikane. Kuliko kutufirisi namna hii.MWIGULU ALISEMA HII NI KODI KAMILI HUKO BUNGENI
Lakini si namna Aviator anavyokula hela kirahisi kama hujatumia jasho kuitafuta. Eti ni fair GAME๐ ๐ ๐ ๐Biashara ni kubeti kilimo pia ni kubeti tu , hivyo vijana waache watie mikeka tu
Kule Aviator huku Sports, Vijana hatutoboi.Umejuaje hayo yote
Wewe utakuwa umeliwa kwenye zile mechi za jana za uefa sasa unaleta makasiriko yako hapa๐
Sijui ni watu gani hata.Sio ccm