Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
Umepiga hesabu kitoto sana ila watu wanapoteza mamilion huko na ni maskini
Gambling addiction isikie tu ni hatari
Gambling addiction isikie tu ni hatari
Huyo anayekula mia mbili mbili sio mbaya.Alaaniwe yule mchina aliyeweka lile dude linawakawaka barabarani kwa kweli roho inauma sana aiseeeee!
wanasema kilimo hakina corner wala double chanceBiashara ni kubeti kilimo pia ni kubeti tu , hivyo vijana waache watie mikeka tu
Ingependeza, ila hawawezi kufungia kamari maana wao ni wanufaika. Mwigulu pia ana kampuni ya kamariNi jukumu sasa la serikali kufungia hii michezo ili angalau Vijana tuone mafanikio hata kidogo.
Ndugu hebu kuwa na heshima na pesa za watu, mtu unafutwa laki 1 ndani ya dakika 30 unafikiri ni kawaida.Huyo anayekula mia mbili mbili sio mbaya.
Kuna aviator Mzee
😂😂😂😂😂Bora betting zingine, kuliko Kanji anyekula kilaini🤣🤣🤣 . Yani hela umeipambania zaidi ya mwezi inachukuliwa ndani ya nusu saa🤣🤣
Cha msingi umeelewa.Umepiga hesabu kitoto sana ila watu wanapoteza mamilion huko na ni maskini
Gambling addiction isikie tu ni hatari
Tufanyeje sasa?UTAACHA NDALA.
UJILAUMU
PESA MAKARATASI