Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afu sipendiSi unajua muoga huyo kukutana na mtu...nmemwambia njoo apa rest fishy eti anaogopa ..wanaume wa dar bwana
Vuruga chipsi[emoji39] [emoji39] [emoji39]Mimi offer yangu kwa shirima hata elfu 7 haifiki nashiba ndii..
Chips yai 2500
Mishkaki minne 2000
Maji ya kilimanjaro 1500
anajitete tu huyokumbe muongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] saint ivugaaaaaaKama mimi navyokupenda sana sema uoga wako ndo siupendu
NdiooKumbe yeye ndo alikimbia?
[emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] nko apa makumbusho njoo basiwee.. kama unabisha nita upload screen short kama Mange anavyofanyaga . hahaha. hujambo lakini nyonyo
Watu wa miliman huko upareni wana matatizo sana vifupiiii vibishiiiii alafu viogaSaint wapi hana lolote
nipo mwanza[emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] nko apa makumbusho njoo basi
unaanza matusi eeWatu wa miliman huko upareni wana matatizo sana vifupiiii vibishiiiii alafu vioga
Basi njoo apa mabatini [emoji3] nami niponipo mwanza
acha hizoBasi njoo apa mabatini [emoji3] nami nipo