Adui wa mwanadamu duniani

Adui wa mwanadamu duniani

Ndugu yangu napenda nipingane na wewe,lakini ni kwa hoja na sio kwa ngumi au matusi.
Kwanza adui wa mwanadamu SIO kifo (mauti),bali adui wa mwanadamu ni IBILISI/SHETANI.Ingawa wengi hawatokubali hoja hii na wengine wametamka hadharani kabisa kwamba shetani ndiye Mungu wao,lakini Mwenyezi Mungu ametutahadharisha juu ya huyu shetani kwamba ni ADUI YETU DHAHIRI.Na akasisitiza kwamba atakayemfanya shetani ni rafiki /Mungu/mlinzi wake badala ya Mwenyezi Mungu;hakika amepata khasara zilizokua wazi.
Pili,kifo kimeumbwa na Mwenyezi Mungu.Yeye ndiye ANAYEFISHA na KUHUISHA.Na anasema kwamba kila nafsi ITAONJA UMAUTI.Na Mwenyezi Mungu kwa msisitizo kabisa anatuambia kwamba haifi nafsi yoyote ila KWA IDHINI YAKE.Yeye pekee ndiye mwenye kumiliki uhai wa kila kiumbe mbinguni na ardhini.
Tatu,kifo ni HATIMA YA LAZIMA kwa kila kiumbe.Mwanadamu hakuumbwa kuishi milele hapa duniani.Anaishi hapa kwa kipindi maalum kilichowekwa na Muumba.Muda wako wa kuwepo hapa duniani ukikamilika,kifo kinakuondoa hapa kwenda kizuizini.Sasa wale waliodai na wanaodai hakuna Mungu wakifa warudishie uhai kama jeuri wanayo maana ni Mwenyezi Mungu pekee ndiye MMILIKI wa uhai wa viumbe vyote akiwemo na huyo shetani.

Umeongea vyema.. Imeandikwa ukimfuata yeye hatokutupa nje kamwe na hata ukifa Utaishi... Na kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele.... Wanadamu hatujui tulitakiwa tupendane sana ili tumshinde adui yetu shetani.. Lakini sisi wenyewe tunaangamizana kwa kutumika na shetani..
 
Unaona maandiko yenu yanavyojipinga?
Hapa unasema "kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele". Unapingana tayari na andiko la kila nafsi itaonja umauti.
 
Ukitafsiri maandiko: "kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele" ina maana hata ukifa utaendelea kuishi milele katika roho hutoenda jehanam
 
Unajua maana ya kufa?
OK, kama ni maswala ya jehanam na peponi bado unaonekana kuimba ngonjera tu, maana hata yule aliyeko jehanam bado atakuwa yupo hai katika roho na ndio maana anaungua.
Leta zingine
 
Ila andiko limesema hata kufa kabisa hata milele, wewe unatuambia ukifa utaendelea kuishi. Tukufate wewe au andiko?
 
Unatafsiri maandiko kiakili na sio kiroho katika ulimwengu wa roho hutokufa kabisa na fahamu kabisa Mungu ni Roho na maisha yetu ya kimungu yapo kiroho ndo maana ukifa baada ya mwili kubaki duniani unakuwa roho kwahiyo utaishi milele ukimfuata yeye.
 
Wewe ndo uliyetafsiri mi nimenukuu tu
 
Ndugu yangu napenda nipingane na wewe,lakini ni kwa hoja na sio kwa ngumi au matusi.
Kwanza adui wa mwanadamu SIO kifo (mauti),bali adui wa mwanadamu ni IBILISI/SHETANI.Ingawa wengi hawatokubali hoja hii na wengine wametamka hadharani kabisa kwamba shetani ndiye Mungu wao,lakini Mwenyezi Mungu ametutahadharisha juu ya huyu shetani kwamba ni ADUI YETU DHAHIRI.Na akasisitiza kwamba atakayemfanya shetani ni rafiki /Mungu/mlinzi wake badala ya Mwenyezi Mungu;hakika amepata khasara zilizokua wazi.
Pili,kifo kimeumbwa na Mwenyezi Mungu.Yeye ndiye ANAYEFISHA na KUHUISHA.Na anasema kwamba kila nafsi ITAONJA UMAUTI.Na Mwenyezi Mungu kwa msisitizo kabisa anatuambia kwamba haifi nafsi yoyote ila KWA IDHINI YAKE.Yeye pekee ndiye mwenye kumiliki uhai wa kila kiumbe mbinguni na ardhini.
Tatu,kifo ni HATIMA YA LAZIMA kwa kila kiumbe.Mwanadamu hakuumbwa kuishi milele hapa duniani.Anaishi hapa kwa kipindi maalum kilichowekwa na Muumba.Muda wako wa kuwepo hapa duniani ukikamilika,kifo kinakuondoa hapa kwenda kizuizini.Sasa wale waliodai na wanaodai hakuna Mungu wakifa warudishie uhai kama jeuri wanayo maana ni Mwenyezi Mungu pekee ndiye MMILIKI wa uhai wa viumbe vyote akiwemo na huyo shetani.
Kifo ni adhabu ilotolewa baada y uasi wa Adam na Eva. Haikjwa mpango wa Mungu kifo kiwepo. Soma mwanzo
 
Unajua maana ya kufa?
OK, kama ni maswala ya jehanam na peponi bado unaonekana kuimba ngonjera tu, maana hata yule aliyeko jehanam bado atakuwa yupo hai katika roho na ndio maana anaungua.
Leta zingine

Nimekwambia yeye amwaminie hatakufa milele katika roho ina maana akifa katika mwili ataenda mbinguni... Ni kweli hata yule asiye mwamini kufa kwake ni kwenda kwenye ziwa la moto.... Yaani atakuwa amekufa milele... Tafsiri maandiko usisome kama kitabu cha kawaida.. Ndio maana Yesu aliwafundisha Wayahudi kwa mifano na mafumbo ndo mana wengi hawakumwelewa
 
Last edited:
Nimekwambia yeye amwaminie hatakufa milele katika roho ina maana akifa katika mwili ataenda mbinguni... Ni kweli hata yule asiye mwamini kufa kwake ni kwenda kwenye ziwa la moto.... Yaani atakuwa amekufa milele... Tafsiri maandiko usisome kama kitabu cha kawaida.. Ndio maana Yesu aliwafundisha Wayahudi kwa mithali ndo mana wengi hawakumwelewa
Sasa utaadhibiwa vipi na moto wa milele ilihali ni mfu? Kwahiyo huko kwenye moto kinaungua nini sasa kama ndio mtu amekufa milele?
Kujitoa ufahamu ni kubaya sana. Mtu amekufa milele alafu anaadhibiwa milele 😀
Alafu mtu hafi kabisa lakini anakufa mwili anaenda kuishi katika roho milele.
HUO NI UPUNGUANI WA MUNGU
 
Mt. 10 wakaja wanafunzi wake wakamwambia kwanini husema nao kwa mifano? Anajibu ninyi mmejaaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni bali wao hawajui... Kwamaana kila aliyenacho ataongezewa na asiye nacho hata kile alichokuwa nacho hatanyang'anywa.. Kwa maana wakitazama hawaoni... Hata wakisikia hawaelewi... Angalia usije kua mmoja wao
 
Unaelewa nilichokuuliza kweli wewe muumini?
 
Mt. 10 wakaja wanafunzi wake wakamwambia kwanini husema nao kwa mifano? Anajibu ninyi mmejaaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni bali wao hawajui... Kwamaana kila aliyenacho ataongezewa na asiye nacho hata kile alichokuwa nacho hatanyang'anywa.. Kwa maana wakitazama hawaoni... Hata wakisikia hawaelewi... Angalia usije kua mmoja wao
Kwaya tu hizi ngoja mkuu @Bennie 369 akutengenezee beats
 
Unataka uishi mpaka millennia nzima? Then unakiita kifo adui namba moja hapo hukumbuki kuwa ni robo tu ya dunia ndio nchi kavu sasa kama kila kiumbe hai kitakachozaliwa ni lazima kiishi yaan kisife unadhani hii dunia ingetutosha kweli????!
DEATH IS JUST A BALANCE OF NATURE AND NOT OUR ENEMY!
 
Napenda sana mchango wako hapa JF mkuu. Alafu jinsi hizi dini zinavyolewesha atakataa
Nimewapuuza Tu. Mnabisha kwa Shallow Learning... Na kwa makusudi kabisa mnapotosha hata kile mlichokielewa. Mnalazimisha kutokuelewa.
Nawakumbusha tena, Mwenyezi Mungu ni mkubwa kuliko chochote /Yeyote, na mwenye uwezo wa kila kitu.
Oneni ukuu wake, fungueni macho na akili. MTAELEWA.
 
"Mwenyezi Mungu ni mkubwa kuliko chochote /Yeyote" Kama ni mkubwa kuliko chochote/Yeyote, mbona haonekani ilihali mnasema yupo kila mahali?

"na mwenye uwezo wa kila kitu" Mbona mwenyewe analalama kwamba shetani ni hatari?

"Oneni ukuu wake, fungueni macho na akili. MTAELEWA.

Kama yupo kweli na hayo madudu yote, atakuwa ni mpumbavu sana.
 
Back
Top Bottom