Adui wa mwanadamu duniani

Adui wa mwanadamu duniani

Nimewapuuza Tu. Mnabisha kwa Shallow Learning... Na kwa makusudi kabisa mnapotosha hata kile mlichokielewa. Mnalazimisha kutokuelewa.
Nawakumbusha tena, Mwenyezi Mungu ni mkubwa kuliko chochote /Yeyote, na mwenye uwezo wa kila kitu.
Oneni ukuu wake, fungueni macho na akili. MTAELEWA.

Mkuu Ina Maana Mungu anaweza kila kitu?sawa!
Binadamu anaweza kusahau,so kama Mungu anaweza kila kitu,Je yeye pia anaweza kusahau?
 
Unataka uishi mpaka millennia nzima? Then unakiita kifo adui namba moja hapo hukumbuki kuwa ni robo tu ya dunia ndio nchi kavu sasa kama kila kiumbe hai kitakachozaliwa ni lazima kiishi yaan kisife unadhani hii dunia ingetutosha kweli????!
DEATH IS JUST A BALANCE OF NATURE AND NOT OUR ENEMY!

BIG UP!

Most of people Are missing that Point
Death is natural part of Our existence
Our mortality is Inevitable so as to Balance our population's density

I find it hard to Imagine the life-without-death
where chicken and Man are both Immortal,who will feed on other in order to survive?Ptttttt!
 
Kifo kipo na ni lazima tufe, kama hukupenda wala kuomba uzaliwe kwanini huogope kufa?
 
Back
Top Bottom