Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Anaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO,
==
Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:*
KWAHIYO.......
1. Ndo ilikuwa gharama ya kumzima Lissu awe zuzu asikemee rushwa na pesa chafu ndani ya Chama?
2. Ndiyo ilikuwa maelekezo kwamba Lissu hatakiwi kugombea nafasi ya Mwenyekiti kwa kuwa ni Kiti chako cha enzi cha ALFA na OMEGA?
3. Na CCM wamemchangia Lissu katika michango ya kununua gari, je iwe ni kuzuizi kwa Lissu asiwapige spana CCM na Serikali yake wakikosea?
MH. LISSU alitoa Mwelekeo wa Mambo 7 ambayo yatakuwa ni Vipaumbele vya MABADILIKO akishinda.
MH. MBOWE aliomba apewe miaka 5 aendelee kukua umri, alelewe na kukuzwa ili aufikie umri wa baba mkwe wake Mtei miaka 68;
MPIGA KURA YUPI ZUZU apige kura kugeuza Chama kuwa Kituo cha Kulelea Wazee mpaka wafike miaka 68 na Kusogeza umri wa maagano ya familia?
TUMKATAE MBOWE KWA NGUVU ZOTE