Kwani CDM ni mali ya mbowe?Si uanzishe chama chako ukifanye cha vijana ndugu wakili.
Hawa machizi wa HGL na HKL zenye Div 111 form six sijui wanajikutaga kitu gani wakienda Law school..
Anzisha chama chako, tafuta wadhamini, toa maoni kwenye vikao vya chama ..
Mbowe ni mzee mwenye heshima sio blabla za kuchangisha mpaka chakula cha mchana
Chama kinarudi kwa wanachama awamu hii.
Inawezekana wewe ni mmoja wa familia ya mbowe na una hofu ya kupoteza kitega uchumi chenu. Sasa jiandae kisaikolojia