Pre GE2025 Adv Levino: CHADEMA Sio kituo cha kulelea Wazee kufikia miaka 68

Pre GE2025 Adv Levino: CHADEMA Sio kituo cha kulelea Wazee kufikia miaka 68

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa hii inahusika nini na mawakili kuunga mkono wakili mwenzao? Sijasema kuwa hamna wengine wanaomuunga mkono. BTW, umemsikiliza Dr Lwaitama hivi karibuni?

Amandla...

Weka u chawa pembeni, kisha angalia tena.
 
Anaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO,

==
Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:*

KWAHIYO.......

1. Ndo ilikuwa gharama ya kumzima Lissu awe zuzu asikemee rushwa na pesa chafu ndani ya Chama?

2. Ndiyo ilikuwa maelekezo kwamba Lissu hatakiwi kugombea nafasi ya Mwenyekiti kwa kuwa ni Kiti chako cha enzi cha ALFA na OMEGA?

3. Na CCM wamemchangia Lissu katika michango ya kununua gari, je iwe ni kuzuizi kwa Lissu asiwapige spana CCM na Serikali yake wakikosea?

MH. LISSU alitoa Mwelekeo wa Mambo 7 ambayo yatakuwa ni Vipaumbele vya MABADILIKO akishinda.

MH. MBOWE aliomba apewe miaka 5 aendelee kukua umri, alelewe na kukuzwa ili aufikie umri wa baba mkwe wake Mtei miaka 68;

MPIGA KURA YUPI ZUZU apige kura kugeuza Chama kuwa Kituo cha Kulelea Wazee mpaka wafike miaka 68 na Kusogeza umri wa maagano ya familia?

TUMKATAE MBOWE KWA NGUVU ZOTE
Kumsaidia mwanachama mwenzako kuna ubaya gani ikiwa ninyi nyote ni chama kimoja,kuna vitu havitakiwi kuzungumzwa na watu wazima wa chama kimoja ni ujinga ndio unaweza msukuma mtu kuongea upuuzi wowote ule.
 
Sawa, Mkuu usie chawa.

Amandla...

Sawa chawa endeleeni kuimba mapambio:

GgoF-14WEAAFBOX.jpeg

Ali mradi mikono iende kinywani.
 
Mbowe ni muhuni aliyejificha kwenye siasa kwa maslahi yake binafsi huku akijifanya kuvaa kinyago cha uzalendo.........
 
==
Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:*

KWAHIYO.......

1. Ndo ilikuwa gharama ya kumzima Lissu awe zuzu asikemee rushwa na pesa chafu ndani ya Chama?

2. Ndiyo ilikuwa maelekezo kwamba Lissu hatakiwi kugombea nafasi ya Mwenyekiti kwa kuwa ni Kiti chako cha enzi cha ALFA na OMEGA?

3. Na CCM wamemchangia Lissu katika michango ya kununua gari, je iwe ni kuzuizi kwa Lissu asiwapige spana CCM na Serikali yake wakikosea?

MH. LISSU alitoa Mwelekeo wa Mambo 7 ambayo yatakuwa ni Vipaumbele vya MABADILIKO akishinda.

MH. MBOWE aliomba apewe miaka 5 aendelee kukua umri, alelewe na kukuzwa ili aufikie umri wa baba mkwe wake Mtei miaka 68;

MPIGA KURA YUPI ZUZU apige kura kugeuza Chama kuwa Kituo cha Kulelea Wazee mpaka wafike miaka 68 na Kusogeza umri wa maagano ya familia?

TUM
Mbowe apimwe akili amezeeka vibaya
 
Mpaka sasa tetesi toka Twitter wanasema 12B+ ni asali na hela nyingine inaongezwa kuongeza nguvu kwa mwamba 🤣. 12B sio pesa ya kitoto 🤣
Sikiliza video kuna sauti na hii ni clubhouse ya Dr Slaa

View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=w_g-bndY2v_e58vQ

CCM wasitumie hizo pesa kwenye masuala ya ujenzi wa zahanati na barabara pamoja na kuzipeleka kule REA zikaboreshe umeme eti wakazipeleke CHADEMA, humu jukwaani kuna utoto mwingi sana.
 
Si uanzishe chama chako ukifanye cha vijana ndugu wakili.

Hawa machizi wa HGL na HKL zenye Div 111 form six sijui wanajikutaga kitu gani wakienda Law school..

Anzisha chama chako, tafuta wadhamini, toa maoni kwenye vikao vya chama ..

Mbowe ni mzee mwenye heshima sio blabla za kuchangisha mpaka chakula cha mchana
Bora yao naskia Sultani wa Kikoba alipiga duara
 
Bora yao naskia Sultani wa Kikoba alipiga duara
Wewe form six ulisoma combination gani mkuu?

Btw yeye alisoma pengine zamani kidogo na umri wa wazaz wako kama wapo..

Weka matokeo yao hala ya Form 4 tu, nitakuonesha hayo ya Div Zero Form 6 PCB ya Freeman.
 
Back
Top Bottom