Pre GE2025 Adv Levino: CHADEMA Sio kituo cha kulelea Wazee kufikia miaka 68

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimeona Makalla kaita waandishi wa habari, naona anaenda kumpokea Lisu rasmi, akabanane na Msigwa.
 
Si uanzishe chama chako ukifanye cha vijana ndugu wakili.

Hawa machizi wa HGL na HKL zenye Div 111 form six sijui wanajikutaga kitu gani wakienda Law school..

Anzisha chama chako, tafuta wadhamini, toa maoni kwenye vikao vya chama ..

Mbowe ni mzee mwenye heshima sio blabla za kuchangisha mpaka chakula cha mchana
😂😂
 
povu la nini sasa?
 
  • Thanks
Reactions: G4N

Wamachame safari hii mumeyatimba kwelikweli.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Anaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO,

==
Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:*

KWAHIYO.......

1. Ndo ilikuwa gharama ya kumzima Lissu awe zuzu asikemee rushwa na pesa chafu ndani ya Chama?

2. Ndiyo ilikuwa maelekezo kwamba Lissu hatakiwi kugombea nafasi ya Mwenyekiti kwa kuwa ni Kiti chako cha enzi cha ALFA na OMEGA?

3. Na CCM wamemchangia Lissu katika michango ya kununua gari, je iwe ni kuzuizi kwa Lissu asiwapige spana CCM na Serikali yake wakikosea?

MH. LISSU alitoa Mwelekeo wa Mambo 7 ambayo yatakuwa ni Vipaumbele vya MABADILIKO akishinda.

MH. MBOWE aliomba apewe miaka 5 aendelee kukua umri, alelewe na kukuzwa ili aufikie umri wa baba mkwe wake Mtei miaka 68;

MPIGA KURA YUPI ZUZU apige kura kugeuza Chama kuwa Kituo cha Kulelea Wazee mpaka wafike miaka 68 na Kusogeza umri wa maagano ya familia?

TUMKATAE MBOWE KWA NGUVU ZOTE
Lisu mwemyewe zuzu, alipigwa risasi na mbowe ila akamsisngizia magufuli,
Pumbafuuuu
 
atuambie tu aligarimia bei gani ili raia wachange tumalizane naye, hela mchaga inamuuma sana.
 
Anaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO,

==
Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:*

KWAHIYO.......

1. Ndo ilikuwa gharama ya kumzima Lissu awe zuzu asikemee rushwa na pesa chafu ndani ya Chama?

2. Ndiyo ilikuwa maelekezo kwamba Lissu hatakiwi kugombea nafasi ya Mwenyekiti kwa kuwa ni Kiti chako cha enzi cha ALFA na OMEGA?

3. Na CCM wamemchangia Lissu katika michango ya kununua gari, je iwe ni kuzuizi kwa Lissu asiwapige spana CCM na Serikali yake wakikosea?

MH. LISSU alitoa Mwelekeo wa Mambo 7 ambayo yatakuwa ni Vipaumbele vya MABADILIKO akishinda.

MH. MBOWE aliomba apewe miaka 5 aendelee kukua umri, alelewe na kukuzwa ili aufikie umri wa baba mkwe wake Mtei miaka 68;

MPIGA KURA YUPI ZUZU apige kura kugeuza Chama kuwa Kituo cha Kulelea Wazee mpaka wafike miaka 68 na Kusogeza umri wa maagano ya familia?

TUMKATAE MBOWE KWA NGUVU ZOTE
MBOWE bye bye, Wacha sasa twende na Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom