Kwani CDM ni mali ya mbowe?Si uanzishe chama chako ukifanye cha vijana ndugu wakili.
Hawa machizi wa HGL na HKL zenye Div 111 form six sijui wanajikutaga kitu gani wakienda Law school..
Anzisha chama chako, tafuta wadhamini, toa maoni kwenye vikao vya chama ..
Mbowe ni mzee mwenye heshima sio blabla za kuchangisha mpaka chakula cha mchana
Relax, mbona umepaniki?Sasa msitusumbue na suti zenu za msibani kwa kujiita Wasomi...
Tetesi toka Twitter clubhouse zinasema Mu7 kalambishwa asali ya 12B+ hiyo ni advansi tu, mbeleni kuna asali nyingine kubwa zaidi atapewa π€£Nani huyo mwaga mchele
Mbowe asipougua sukari safari hii hatougua tenaAnaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO,
==
Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:*
KWAHIYO.......
1. Ndo ilikuwa gharama ya kumzima Lissu awe zuzu asikemee rushwa na pesa chafu ndani ya Chama?
2. Ndiyo ilikuwa maelekezo kwamba Lissu hatakiwi kugombea nafasi ya Mwenyekiti kwa kuwa ni Kiti chako cha enzi cha ALFA na OMEGA?
3. Na CCM wamemchangia Lissu katika michango ya kununua gari, je iwe ni kuzuizi kwa Lissu asiwapige spana CCM na Serikali yake wakikosea?
MH. LISSU alitoa Mwelekeo wa Mambo 7 ambayo yatakuwa ni Vipaumbele vya MABADILIKO akishinda.
MH. MBOWE aliomba apewe miaka 5 aendelee kukua umri, alelewe na kukuzwa ili aufikie umri wa baba mkwe wake Mtei miaka 68;
MPIGA KURA YUPI ZUZU apige kura kugeuza Chama kuwa Kituo cha Kulelea Wazee mpaka wafike miaka 68 na Kusogeza umri wa maagano ya familia?
TUMKATAE MBOWE KWA NGUVU ZOTE
Mbowe kachemka haswaBusara ni kitu Cha hekima sana yaani kwenye uongozi unasubiri watu wakuchoke mpaka wakutoe kwa nguvu sijui ndio utardhika.
Hoja zaAnaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO,
==
Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:*
KWAHIYO.......
1. Ndo ilikuwa gharama ya kumzima Lissu awe zuzu asikemee rushwa na pesa chafu ndani ya Chama?
2. Ndiyo ilikuwa maelekezo kwamba Lissu hatakiwi kugombea nafasi ya Mwenyekiti kwa kuwa ni Kiti chako cha enzi cha ALFA na OMEGA?
3. Na CCM wamemchangia Lissu katika michango ya kununua gari, je iwe ni kuzuizi kwa Lissu asiwapige spana CCM na Serikali yake wakikosea?
MH. LISSU alitoa Mwelekeo wa Mambo 7 ambayo yatakuwa ni Vipaumbele vya MABADILIKO akishinda.
MH. MBOWE aliomba apewe miaka 5 aendelee kukua umri, alelewe na kukuzwa ili aufikie umri wa baba mkwe wake Mtei miaka 68;
MPIGA KURA YUPI ZUZU apige kura kugeuza Chama kuwa Kituo cha Kulelea Wazee mpaka wafike miaka 68 na Kusogeza umri wa maagano ya familia?
TUM
Hoja za kijingaSi uanzishe chama chako ukifanye cha vijana ndugu wakili.
Hawa machizi wa HGL na HKL zenye Div 111 form six sijui wanajikutaga kitu gani wakienda Law school..
Anzisha chama chako, tafuta wadhamini, toa maoni kwenye vikao vya chama ..
Mbowe ni mzee mwenye heshima sio blabla za kuchangisha mpaka chakula cha mchana
Si uanzishe chama chako ukifanye cha vijana ndugu wakili.
Hawa machizi wa HGL na HKL zenye Div 111 form six sijui wanajikutaga kitu gani wakienda Law school..
Anzisha chama chako, tafuta wadhamini, toa maoni kwenye vikao vya chama ..
Mbowe ni mzee mwenye heshima sio blabla za kuchangisha mpaka chakula cha mchana
Mawakili bwana. Hawatupani.
Amandla...
12B parefu kaka, hiyo ni OC ya shirik na chenchi inabakiTetesi toka mtandao wa Twitter ni kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B+ π€£
Inawezekana ni tetesi za uongo au za ukweli, ila 12B+ sio pesa ya kitoto π€£
π unaokoteza maparody ya huko X unakuja nayo hapa.Kwani hiki ni cha nani?
Habari mbaya kwenu:
View attachment 3194972
Mshaurini mwamba apumzike kukinusuru chama na u CUFU.
Ni wasomi hao sio kwamba wanajiita tuSasa msitusumbue na suti zenu za msibani kwa kujiita Wasomi...
π unaokoteza maparody ya huko X unakuja nayo hapa.
Its Confirmed TL will not make it ...
Lissu Spares no one when it comes to making his way and fitting his narratives.X?
Kwamba ni ya lini hii?
Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!
Hamjihurumii?
Kwamba Law ni muhimu kuliko career ipi kwamfano..Ni wasomi hao sio kwamba wanajiita tu