Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Kichwa gani taka taka hiyo hivi ww unajua dhambi ya utengano unazani tutakuwa paxuri mtu yoyote anayepinga muungano huyo ni msaliti wa TaifaAdv. nimetokea kumwelewa sana, hii nchi ina vichwa vya kutosha kutuondoa kwenye mkwamo wa kifikra tuliomo, tatizo maamuzi yamehodhiwa na kikundi cha wachache, walafi wa madaraka, waliokata tamaa.
Huu ni wakati wa kuwaamsha, na kuwambia ukweli, vitisho vyao havina maana yoyote.
Unajuaje Kama hajatumwa na Mungu?Huyu anatafutwa umaarufu wa kishamba sisi tunamwini Mungu tu
Kabisaaaaaaaaa!!!!!!!Nukuu:
Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact.
Mwambukusi.
Ila Wakuu to be honest,PM Majaliwa ni muongo muongo sana alafu anapenda kuficha udhaifu wake kwa kuunda vikamati uchwara.Huyu anapaswa apumzishwe kwa sasa!Nukuu:
Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact.
Mwambukusi.
Kuna mtu anapinga muungano?Kichwa gani taka taka hiyo hivi ww unajua dhambi ya utengano unazani tutakuwa paxuri mtu yoyote anayepinga muungano huyo ni msaliti wa Taifa
Hapo umesoma kuna kutenganisha nini?Kichwa gani taka taka hiyo hivi ww unajua dhambi ya utengano unazani tutakuwa paxuri mtu yoyote anayepinga muungano huyo ni msaliti wa Taifa
Huyu Mwabukusi kachanganyikiwa, madeni ya huko mahakamani yamemjaa mpaka shingoni. Kila akifungua kesi inaangukia pua. Alishindwa dhidi ya Mwakibete mbunge wa sasa na anakwenda kushindwa dhidi ya serikali suala la bandari.Nukuu:
Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact.
Mwambukusi.
Naona wazenji kwasasa mnaufagilia sana mungano maana mmejazana kariakooKichwa gani taka taka hiyo hivi ww unajua dhambi ya utengano unazani tutakuwa paxuri mtu yoyote anayepinga muungano huyo ni msaliti wa Taifa
Kweli kabisa mkuu! Hapa inatakiwa elimu hii ya kuwatoa watanzania kwenye mkwamo wa kifokra ienee kote nchini,tukitambua sio wananchi wote wanaingia mitandaoni na kukutana na akili kubwa kama za akina adv. Mwakubusi.Adv. nimetokea kumwelewa sana, hii nchi ina vichwa vya kutosha kutuondoa kwenye mkwamo wa kifikra tuliomo, tatizo maamuzi yamehodhiwa na kikundi cha wachache, walafi wa madaraka, waliokata tamaa.
Huu ni wakati wa kuwaamsha, na kuwambia ukweli, vitisho vyao havina maana yoyote.