Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Nukuu:

Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact.

Mwambukusi.

Adv. nimetokea kumwelewa sana, hii nchi ina vichwa vya kutosha kutuondoa kwenye mkwamo wa kifikra tuliomo, tatizo maamuzi yamehodhiwa na kikundi cha wachache, walafi wa madaraka, wajinga wasiojua wanapotupeleka, na waliokata tamaa.

Huu ni wakati wa kuwaamsha, na kuwaambia ukweli, vitisho vyao havina maana yoyote.
 
Adv. nimetokea kumwelewa sana, hii nchi ina vichwa vya kutosha kutuondoa kwenye mkwamo wa kifikra tuliomo, tatizo maamuzi yamehodhiwa na kikundi cha wachache, walafi wa madaraka, waliokata tamaa.

Huu ni wakati wa kuwaamsha, na kuwambia ukweli, vitisho vyao havina maana yoyote.
Kichwa gani taka taka hiyo hivi ww unajua dhambi ya utengano unazani tutakuwa paxuri mtu yoyote anayepinga muungano huyo ni msaliti wa Taifa
 
Nukuu:

Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact.

Mwambukusi.
Kabisaaaaaaaaa!!!!!!!
 
Nukuu:

Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact.

Mwambukusi.
Ila Wakuu to be honest,PM Majaliwa ni muongo muongo sana alafu anapenda kuficha udhaifu wake kwa kuunda vikamati uchwara.Huyu anapaswa apumzishwe kwa sasa!
 
Nukuu:

Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact.

Mwambukusi.
Huyu Mwabukusi kachanganyikiwa, madeni ya huko mahakamani yamemjaa mpaka shingoni. Kila akifungua kesi inaangukia pua. Alishindwa dhidi ya Mwakibete mbunge wa sasa na anakwenda kushindwa dhidi ya serikali suala la bandari.

Amejaribu kuitangaza video yake ya nje ya mahakama ili wafadhili wamkumbuke kwenye ufalme wao, hizo ni jitihada za mwisho mwisho kabla jahazi halijazama kabisa.
 
Kichwa gani taka taka hiyo hivi ww unajua dhambi ya utengano unazani tutakuwa paxuri mtu yoyote anayepinga muungano huyo ni msaliti wa Taifa
Naona wazenji kwasasa mnaufagilia sana mungano maana mmejazana kariakoo
 
Adv. nimetokea kumwelewa sana, hii nchi ina vichwa vya kutosha kutuondoa kwenye mkwamo wa kifikra tuliomo, tatizo maamuzi yamehodhiwa na kikundi cha wachache, walafi wa madaraka, waliokata tamaa.

Huu ni wakati wa kuwaamsha, na kuwambia ukweli, vitisho vyao havina maana yoyote.
Kweli kabisa mkuu! Hapa inatakiwa elimu hii ya kuwatoa watanzania kwenye mkwamo wa kifokra ienee kote nchini,tukitambua sio wananchi wote wanaingia mitandaoni na kukutana na akili kubwa kama za akina adv. Mwakubusi.

Na pia ombi lake Kwa viongozi wa dini lifanyiwe kazi. Na kuhusu namna ya kufikisha kumbe hizi kwa wananchi zitumike nyumba za ibada. Ujumbe wa adv. Mwakubusi iwekwe kimaandishi,na kufanya kuwa waraka utakaosomwa kwenye nyumba za ibada,hapa itawafikia wengi na kwa muda mfupi.
 
Back
Top Bottom