Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

PM anatoa kauli za uongo uongo kama mtoto wa primary, kwanini anakuwa hivi lakini?
 
Nukuu:

Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact.

Mwambukusi.
Wakili Msomi Mwambakusi kapiga mulemule.
Your browser is not able to display this video.
 
Waziri wa mambo ya ndani Masauni amesha toa angalizo
 
Nukuu:

Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact.

Mwambukusi.
Mtoto akililia wembe ataupata, huo umaarufu anaoutafuta kwa njia hiyo atausikilizia kunakostahili wacha ajimwambafai
 
zuzu lenzake
 
Naona wazenji kwasasa mnaufagilia sana mungano maana mmejazana kariakoo
Hakuna wa kuuvunja huu muumngano we kenge, hata vilembwe vyako haviwezi, alishindwa aliyekuwa rais mwenyewe wa Zanzibar Abood Jumbe, sasa minyau km nyie mliojificha nyuma ya keyboard hata hamjulikani km ni majini mtaaanzia wapi.
 
zuzu lingine ktk ubora wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…