Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

PM anatoa kauli za uongo uongo kama mtoto wa primary, kwanini anakuwa hivi lakini?
 
Nukuu:

Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact.

Mwambukusi.
Wakili Msomi Mwambakusi kapiga mulemule.
 
Waziri wa mambo ya ndani Masauni amesha toa angalizo
 
Nukuu:

Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact.

Mwambukusi.
Mtoto akililia wembe ataupata, huo umaarufu anaoutafuta kwa njia hiyo atausikilizia kunakostahili wacha ajimwambafai
 
Adv. nimetokea kumwelewa sana, hii nchi ina vichwa vya kutosha kutuondoa kwenye mkwamo wa kifikra tuliomo, tatizo maamuzi yamehodhiwa na kikundi cha wachache, walafi wa madaraka, wajinga wasiojua wanapotupeleka, na waliokata tamaa.

Huu ni wakati wa kuwaamsha, na kuwaambia ukweli, vitisho vyao havina maana yoyote.
zuzu lenzake
 
Naona wazenji kwasasa mnaufagilia sana mungano maana mmejazana kariakoo
Hakuna wa kuuvunja huu muumngano we kenge, hata vilembwe vyako haviwezi, alishindwa aliyekuwa rais mwenyewe wa Zanzibar Abood Jumbe, sasa minyau km nyie mliojificha nyuma ya keyboard hata hamjulikani km ni majini mtaaanzia wapi.
 
Kweli kabisa mkuu! Hapa inatakiwa elimu hii ya kuwatoa watanzania kwenye mkwamo wa kifokra ienee kote nchini,tukitambua sio wananchi wote wanaingia mitandaoni na kukutana na akili kubwa kama za akina adv. Mwakubusi. Na pia ombi lake Kwa viongozi wa dini lifanyiwe kazi. Na kuhusu namna ya kufikisha kumbe hizi kwa wananchi zitumike nyumba za ibada. Ujumbe wa adv. Mwakubusi iwekwe kimaandishi,na kufanya kuwa waraka utakaosomwa kwenye nyumba za ibada,hapa itawafikia wengi na kwa muda mfupi.
zuzu lingine ktk ubora wake
 
Back
Top Bottom