Mkuu bora ulivyoenda PCB kuikimbia Physics ya PCM maana ile ni shida.HahahahahahEnzi hizo baba yangu alikua anataka nije kua doctor, akanipeleka kuniandikisha F.5 hata kabla serikali haijatoa selection za shule zake (nilikua na div. 1) F.4
Kufika akaniregister kusoma PCB(Shule 1 hivi ya private) ,nilisoma mwezi mzima hiyo physics naona nyota nyota tu nikaamua kuhamia PCB.
Mpaka namaliza Advance mzee anajua nipo PCB kumbe fizikia ilinipiga hat trick mapema tu.
Halafu CPA inahitaji muda mwingiHapo kwenye mda ndo tatizo ....
Mkuu bora ulivyoenda PCB kuikimbia Physics ya PCM maana ile ni shida.Hahahahahah
Yah ni moja ila jamaa kanichekesha sana maana kasema alivyokuwa PCM Physics ilimshinda akahamia PCBKwani tofauti ya phy ya PCM NA PCB ni ipi ? Wote wanasoma phy moja !!! tena bora PCM maana kidogo maths na phy baadhi ya vitu vinaingiliana kidogo.
Yah ni moja ila jamaa kanichekesha sana maana kasema alivyokuwa PCM Physics ilimshinda akahamia PCB
Halafu CPA inahitaji muda mwingi
Unaweza kubadilika ukawa kama zombie kwa msuli wake
Hahahahaa. Nilikua sina jinsi mkuu. History nilikua najua kumeza mapoint issue kuandika maelezo mengi nilikua siwezi kabisa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu kumbe na wewe ulisoma haya nadude.
Ndio maana posts zako hua zipo tofauti na wadada wa H-kunanii
Yah ni moja ila jamaa kanichekesha sana maana kasema alivyokuwa PCM Physics ilimshinda akahamia PCB
Kwani tofauti ya phy ya PCM NA PCB ni ipi ? Wote wanasoma phy moja !!! tena bora PCM maana kidogo maths na phy baadhi ya vitu vinaingiliana kidogo.
M naona ni typn error ...... maybe anamaanisha kuhama
Hiyo principal ya kukariri ndio nilitumia chuo.... yaani ukimeza mzigo ndio umeelewa hivyo hayo mengine ya kutaka kuelewa muda nilikuwa sinaUelewe we nani kwa mfano. Unakariri ukajibie mtaani utaelewa baadae huko.
Part time labda usome masomo mawili mawili kama bado wanaruhusuYaani afu eti ndo usome part time lazima uisome namba .....
Wewe uliisoma au hukuisoma Advanced Physics?Uzuri kwenye huu uzi
Kila mmoja anajipambanua kuwa kasoma physics.
Ila kiukweli nusu yao wachangiaji humu hawajasoma physics wanaishia kutaja tu aaa mara physics ngumu mara nini....!!
Kuna watu wanashinda humu mchana kutwa usiku kucha unajiuliza huyu hiyo physics alisoma lini na kama aliisoma???anafanya kazi saa ngapi???.
Jamani tuacheni drama na ku pretend
Ni hayo tu kwa sasa.
Sikusoma mkuuWewe uliisoma au hukuisoma Advanced Physics?
Ok.Sikusoma mkuu
Ni rahisi sana we chunguza katika maandishi yao.Ok.
Japo ni vigumu kuamini jinsi wachangiaji wengi walivyochangia na kudai waliisoma, kwa wewe ambaye hukuisoma ni vigumu kumtambua atakayedanganya.