Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,804
- 3,113
kwakweli hata mimi nitarudi shule zote lkn sio advance ya PCB!Hahaha Daaah physics ni balaa Kuna T.O mmoja hivi alimaliza 2006 alikuja Kutufundisha sisi tukiwa form 6 tukajiona Vilaza Wote.. vitabu vya Chand...Roger. vyote tuliona Tumemaliza na Hakuna Swali Gumu.. Jamaa Halafu alikuwa ana dharau balaa na Chuo alifukuzwa Kisa Dharau kwa Maprofesa kwahiyo akabak anapiga Tuition mtaani tu na Sifa Kibao na Kuwaona Watanzania wote hawana Akili ila Yeye peke yake
Ila Nakumbuka Siku ya Mtihani wa Physics Nilipiga msuli Usiku halafu kesho yake Pepa Asubuhi Na Nikasolve Maswali Kama matatu hivi ya Chand kwenye Pepa Yamekuja Vile vile Nikasema Nashukuru Mungu Ndalichako kaniona
Ila Yote tisa nitarudi Shule Zote ila Siyo Advance
Biology na Chemistry zinatembea lkn Advanced physics hapana aiseee! Topic kama Magnetism, Adiabatic Expansion! Kwakweli A.physics ni nomaaaa.
Nakumbuka nilotoka jasho kwenye Practical baada ya kukuta pendulum la ajaab, unafunga uzi kwenye rula halafu bob inaning'inia kwa kutengeza umbo la pembe tatu! I wont forget