Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mkuu no offense intended!! katika jamii ya waelewa kurekebishana/kukosoana ni sehemu ya maisha yetu!! Ni bahati mbaya hupendi kukosolewa/kurekebishwa!!Kwahiyo unadhani ni wewe tu ndio ulielewa kuwa nimekosea kusema hiyo ni topic?
Wewe umeelwa endelea kuchangia mada,mambo madogo dogo ndio huwafanywa watu wasiwe wanaweka mada zenye maana maana j
Wenda pia mtaala wenu ulibadilishwa na kuifanya projectile motion kuwa topic ila kipindi chetu haikua hivyo na ndio maana inawezekana nili kurekebisha kimakosa!!!
BTW nimefuta kabisa hiyo post kiongozi na amani itawale!!