Hahahahahaaaaa.Mimi nilisoma physics ,nikakutana na Mwalimu mmoja , ni shida aisee ,projectile alivyoifundisha alinishangaza enzi hizo tena mzungu , Alikuja na chungwa Moja
Akafuta ubao , akandika the topic of Today is Projectile Motion
Alichofanya akachukua lile chungwa akalirusha juu likachora Trajectory , lilipotua chini akasema topic imeisha akabeba makabrasha yake akaondoka ,
Siku iliyofuata akasema kama umekuja na A ya kuibia utaondoka na zero
Ha ha ha
HahahahahahaaaaaaTatizo moja kubwa la physics unapoanza form 5 iko very interesting na unaiona A ya Necta inakuja. Kimbembe kinaanza kwenye maswali, unakuta umepewa data zisizohusiana na formula yoyote Kumbe ulitakiwa uzidishe area na length upate volume. Halafu hiyo volume uzidishe na density upate mass. Halafu hiyo mass uzidishe na acceleration upate Force ndio ukamilishe data za kufanya swali lako. Yaani hizo mbwembwe zote ila swali bado hujajibu na lina marks 3.
Nilikua na daftari nimeliwekea cover ya derivation ya Benourli principle ili niwe naiona mara kwa mara. Ila Ile biot savart Law ilinishinda kabisa kila nikisoma haipiti wiki nimesahau. Nilikua na topic zangu za ushindi, wave 1, electronics, modern, heat, current. Lakini maswali yalotolewa na NECTA nilikua siyajui kama sikusoma kitu vile. Nikaona ni miujiza tu itafanya nifaulu physics
Vifaa vya lab navyo ni majanga tu. limetre bridge linadeflect upande mmoja, nikianza upya bado linafanya vilevile. Msimamizi anasema endelea tu. Nikasema isiwe tabu nikawa naangalia data za mtu wa mbele na wa nyuma naweka average.
Tuacheni utani wanaopata mabanda ya physics ni kwa sababu wanasoma sana na kusolve sana maswali. Kupata swali la physics ambalo hujawahi kuliona sehemu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Ilinichukua muda kuyaamini matokeo yangu ya form 6 baada ya kupata marks ambazo sikutegemea kabisa kupata kwenye physics. nakumbuka nilihakikisha namba zaidi ya mara tatu ndio nikakubali kweli ni mimi niliyepata lile karai. Niliweka sherehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sitasahau necta 2005 vifaa vya umeme viliponigomea Hadi msimamiz kunionea huruma nichukue data kwa jirani niendelee na swali kumbe jirani nae kapata data za uongo
[emoji23] [emoji23] [emoji125]Hahaaa advance kazi yangu ilikua ni kukariri page za vitabu na maswali+majibu yake kwenye page husika...
Kwahio mtu akiniletea swali namtajia page alipolitoa halafu namtajia jibu kwa mbwembwe mwisho na swali linanishinda..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Magnetism mpka naondoka adv, sija wahi igusa !
Wave , electronic, modern physcics, heat, ndo zilikuwa topic zangu,
Mungu si athumani
Nikapata F ,
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Test za mwanzo namba za viatu za kutosha!!?[emoji23] [emoji23]
Jamaa alisomaga Tosamaganga enzi hizo.....alikuwa hatari sana kwenye physics na mathsHahaha Daaah physics ni balaa Kuna T.O mmoja hivi alimaliza 2006 alikuja Kutufundisha sisi tukiwa form 6 tukajiona Vilaza Wote.. vitabu vya Chand...Roger. vyote tuliona Tumemaliza na Hakuna Swali Gumu.. Jamaa Halafu alikuwa ana dharau balaa na Chuo alifukuzwa Kisa Dharau kwa Maprofesa kwahiyo akabak anapiga Tuition mtaani tu na Sifa Kibao na Kuwaona Watanzania wote hawana Akili ila Yeye peke yake
Ila Nakumbuka Siku ya Mtihani wa Physics Nilipiga msuli Usiku halafu kesho yake Pepa Asubuhi Na Nikasolve Maswali Kama matatu hivi ya Chand kwenye Pepa Yamekuja Vile vile Nikasema Nashukuru Mungu Ndalichako kaniona
Ila Yote tisa nitarudi Shule Zote ila Siyo Advance
Daah kabisa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzi huu wachangiaji wachache sana sababu tuliopitia njia hii ni wachache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
O level utakua umesome secondary ya ufundi weweHahahahah shule yenyew O-level tulkuwa tunagonga Engineering Science badala ya Physics.....so ulikuwa ukichaguliwa Iyunga advance kama ulkotoka ulkuwa unabahatisha hakuna muujiza wa kutoboa.....ukigeuka kushoto unakutana na LE MUTUZ la Chemistry....Mr. SUDI.....***** mzee ana roho mbaya huyo.....kinyama.....
Umenkumbusha mbali sana kwa IYUNGA......
Maisha hayapo fair, sitasahau wakati nimeenda kureport advance, siku ya kwanza kuingia class watu wanavunja mechanics muda mimi sijui lolote, na walimu kipindi hicho hamna tukajiorganize kama darasa ikabidi wale waliokwisha kava watupigie pindi...ila mwisho wa siku Mungu si athuman na kutangulia sio kufika necta ikaja tukapiga fresh hata zaid ya waliokuwa wamecover mapema
Hahaha mkuu mademu walikuwa wtaturespect sana enzi hizo[/l
SAnaaa .uzur madem walk
ua hawaniulz maswal weng walkua o level...na kwa kuwatsha zaid nikawa nachkua miwani ya macho kwa wahuni af navaa...wee bac ilkua ni kuwaokota kama maembe
MIE zangu ni mechanics, heat,wave,electrostatic, magnetism. Hapo swali halikukatisha .tonics sijaisoma kabisa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Hahahah wazee wa data given
Mass=2kg
velocity=35m/s
Hahaaa hii kauli nimekutana nayo siku ya pili nafika shuleni... teacher anakwambia PCB is not for everyone. .kuna ticha wangu wa physics yy alikuwa kila ukimwambia hujaelewa au ukiuliza swali anakujibu"physics is for sure boys not for everyone"