ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Hahahaha aise hii kitu balaa,Mimi nilipiga tuition nikaanza na projectile baada ya wiki nikaanza kukwepa vipindi na topic ilikua ni 20 Amber center.Baada ya kujitathimini nilienda arts hadi leo baadhi ya watu hawaamini kama nilisomaga arts.Magnetism mpka naondoka adv, sija wahi igusa !
Wave , electronic, modern physcics, heat, ndo zilikuwa topic zangu,
Mungu si athumani
Nikapata F ,
Inategemea na MTU Mkuu me chemistry ilikua ngumu sana mpaka kesho hata university nilichagua coz ambayo mambo ya chemistry hayatakua mengi sana kama watu Wa chemical and processing EngKwakifupi somo gumu kuliko yote duniani ni physics
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwaka gani uo ?Guys
Mnanikumbusha iyunga boys,dah acha tu,nadhan mm nilikuwa kilaza kuliko wote
Mkuu sio huu ni ule wa mitihani ya chuo..Ilikuwepo
Hyo ya meaHivi kumbe kulikua na topic ya measurements and error kwenye Physics. Ama kweli nilikua nasomea pepa.
hata mm hzo topic nlkuwa naziskia kwa watuHivi kumbe kulikua na topic ya measurements and error kwenye Physics. Ama kweli nilikua nasomea pepa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenyewe shule advance siitamani tena,,,ata wanipe hela hapa...msuli tembo matokeo sisimizi[emoji23] [emoji23] mambo ya tranter,understanding, pure uwiii[emoji119]Hahaha Daaah physics ni balaa Kuna T.O mmoja hivi alimaliza 2006 alikuja Kutufundisha sisi tukiwa form 6 tukajiona Vilaza Wote.. vitabu vya Chand...Roger. vyote tuliona Tumemaliza na Hakuna Swali Gumu.. Jamaa Halafu alikuwa ana dharau balaa na Chuo alifukuzwa Kisa Dharau kwa Maprofesa kwahiyo akabak anapiga Tuition mtaani tu na Sifa Kibao na Kuwaona Watanzania wote hawana Akili ila Yeye peke yake
Ila Nakumbuka Siku ya Mtihani wa Physics Nilipiga msuli Usiku halafu kesho yake Pepa Asubuhi Na Nikasolve Maswali Kama matatu hivi ya Chand kwenye Pepa Yamekuja Vile vile Nikasema Nashukuru Mungu Ndalichako kaniona
Ila Yote tisa nitarudi Shule Zote ila Siyo Advance
Sisy wangu anasota nayo hatari..eti nlikua na mpango kuanza kuisoma uku nasoma degree yng 2nd yr financeKabisa unaweza jikuta 5yrs unatafuta CPA but masters 2yrs kugraduate uhakika....