kuna wakati nilitamani kukimbia Physics adv ni balaa halafu mwisho wa siku watu mnakuja kusoma accounting, procurement sasa najiuliza mateso yote yale ya nini si bora ningesoma hata HGE? wanafunzi wengi hawapati ushauri kuhusu combination wanazosoma na options ambazo zipo vyuoni mimi nilikua mmoja wapo, ndio maana madogo wakiomba ushauri huku ni lazima nicoment,kama mwanafunzi hawezi hesabu asihangaike kusoma PCM,PCB PGM atajutia maana kuangukia pua si kitu cha ajabu