Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Huo mtihani ulinifanya nibanwe haja kwenye chumba cha mtihani sikuwahi before maana mitihani ya necta hua sitoki nje, nilivyofika chooni nilihalisha wakati sikuwa na tumbo la kuhara,
Kurudi kwenye chumba cha mtihani maswali hayaendi ilikia paper 2 nikikumbuka paper1 na yenyewe ilininyoosha hatari tupu, paper 3 na yenyewe vita.
Kwa kifupi Physics ilinitia kidole
 
Soma , mdogo angu bado unahangaika na hizi social network

Wenzako mzumbe wanamenyeka we unachati na Mwifwa , jomba kazaaa ueliminate hizo 30 , 30kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa na simu ya Nokia Tochi(Advance, Olevel sijawahi kumiliki simu) nilikuja kunyang'anywa na Head master alinifuma nikiwa maabara ya phyz kwenye practical maana alizipiga marufuku. Hakunirudishia na sikuifuata hadi nikamaliza shule sina simu.

Aliponinyang'anya sikuwa na shida sana maana alinipunguzia mzigo wa kusumbuka na simu badala ya kupiga msuli.

Huyo dogo awe makini na hiyo simu isije ikampotezee muda bure.
 
Physics nilipiga kalai 2009 advance huwa nacheki cert yangu na kujiona kidume acha physics ibaki kuwa somo la kiume
 
Dah..nilifundishwa physics na Muhindi(not maize)...lugha ilikuwa shida sana darasani...tulikuwa tunaona anachoongea tofauti na anachokiandika.alikuwa kama anaimba nyimbo za kihindi....tulimzoea baadaye ..tulimuita "Inclined angle"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Yuko wapi kwa sasa mkuu?
Nahis bado ni Head Master wa Tanga Tech nilimwacha hapo 2013! Nakumbuka kwenye vikao vya school baraza tulimbembeleza sana awe anaingia darasani kukumbushia enzi atufundishe Physics lakin wap bahat haikuwa yetu aligoma kushika chaki tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahis bado ni Head Master wa Tanga Tech nilimwacha hapo 2013! Nakumbuka kwenye vikao vya school baraza tulimbembeleza sana awe anaingia darasani kukumbushia enzi atufundishe Physics lakin wap bahat haikuwa yetu aligoma kushika chaki tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa uliibuka na ngapi A-level
 
Yani huu uzi badala ya kunitia uwoga ndo kwanza umenipa hamu zaidi ya kuchunguza na kutaka kuijua physics kiundani.
Hapa nimepata morali sana nizijue hizo matopic ya Alevel.
 
Yani huu uzi badala ya kunitia uwoga ndo kwanza umenipa hamu zaidi ya kuchunguza na kutaka kuijua physics kiundani.
Hapa nimepata morali sana nizijue hizo matopic ya Alevel.
Dah...ukizijua herufi za kigiriki tu....Basi umeijua fizikia[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Beretta ARX 160
 
Sasa uliibuka na ngapi A-level
Advanced Physics haitakag mbwembwe! Nilipiga D yangu safi ya kuingilia chuo
Ila sitakuja sahau physics paper 3 necta 2013 ilichonifanya, nilivaa surual nyeus ila lile bao nililopiga wakat pressure imepanda bado lilionekana" that was my best ejaculation ever" mnaambiwa mnaama lab huku bado huna data hata moja
Unforgettable moment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeeeeeeeeee mpaka bao.

Nimefatilia na mzee Mwifwa nae alijipigia aisee.
Advanced Physics haitakag mbwembwe! Nilipiga D yangu safi ya kuingilia chuo
Ila sitakuja sahau physics paper 3 necta 2013 ilichonifanya, nilivaa surual nyeus ila lile bao nililopiga wakat pressure imepanda bado lilionekana" that was my best ejaculation ever" mnaambiwa mnaama lab huku bado huna data hata moja
Unforgettable moment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Physics acha tuu, soma sana wapi.
Halafu mi nilikuwa kilaza advance, likizo nilikuwa hamna cha tuition wala kujisomea.

Nilivyoingia cha sita ndio nikaanza kusoma atleast kwa bidii.
Mwisho wa siku nikaamua kubagua topics za paper two, kilichonitokea kwenye Necta, yakaja maswali ya topics nilizozibagua kama tism, yaani nilishindwa nifanyeje swali unaliona kabisa hili topic yake sijaisoma, pengine ningekuwa nimesoma hii topic ,ndio ningepatia marks . Siku hiyo walinikamata, yaani hawa Necta walifikiria sijui nini kutokuleta topics ambazo nimesoma.

Ila pamoja na hayo yote, mimi ni optimistic. So sikuwaza sana.

Mwisho wa siku nilivuna nilichopanda, E

Sent using simu mbovu
 
Back
Top Bottom