Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Muda kitambo. Alikuwa akijigamba kuwa kasoma na Nelkon kule Marekani na hakuwahi kutumia vitabu vya Nelkon kwa ajili ya references eti Nelkon alikuwa kilaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda kitambo. Alikuwa akijigamba kuwa kasoma na Nelkon kule Marekani na hakuwahi kutumia vitabu vya Nelkon kwa ajili ya references eti Nelkon alikuwa kilaza.
NECTA ya Advance na O-level niliondoka na B ya Physics.Sasa NECTA uliondoka na ngapi mkuu?
Mimi nilikuwa na simu ya Nokia Tochi(Advance, Olevel sijawahi kumiliki simu) nilikuja kunyang'anywa na Head master alinifuma nikiwa maabara ya phyz kwenye practical maana alizipiga marufuku. Hakunirudishia na sikuifuata hadi nikamaliza shule sina simu.Soma , mdogo angu bado unahangaika na hizi social network
Wenzako mzumbe wanamenyeka we unachati na Mwifwa , jomba kazaaa ueliminate hizo 30 , 30kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee njema sana.NECTA ya Advance na O-level niliondoka na B ya Physics.
Kila la kheriAiseeee njema sana.
Wacha namimi nakutilia B matokeo ya mwakani.
Namkumbuka mwalimu wangu wa physics mwakanyamale alifanye nilipende sana somo hili, hakika alikuwa vzr sana
Nahis bado ni Head Master wa Tanga Tech nilimwacha hapo 2013! Nakumbuka kwenye vikao vya school baraza tulimbembeleza sana awe anaingia darasani kukumbushia enzi atufundishe Physics lakin wap bahat haikuwa yetu aligoma kushika chaki tena!Yuko wapi kwa sasa mkuu?
Sasa uliibuka na ngapi A-levelNahis bado ni Head Master wa Tanga Tech nilimwacha hapo 2013! Nakumbuka kwenye vikao vya school baraza tulimbembeleza sana awe anaingia darasani kukumbushia enzi atufundishe Physics lakin wap bahat haikuwa yetu aligoma kushika chaki tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani huu uzi badala ya kunitia uwoga ndo kwanza umenipa hamu zaidi ya kuchunguza na kutaka kuijua physics kiundani.Nahis bado ni Head Master wa Tanga Tech nilimwacha hapo 2013! Nakumbuka kwenye vikao vya school baraza tulimbembeleza sana awe anaingia darasani kukumbushia enzi atufundishe Physics lakin wap bahat haikuwa yetu aligoma kushika chaki tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...ukizijua herufi za kigiriki tu....Basi umeijua fizikia[emoji23][emoji23][emoji23]Yani huu uzi badala ya kunitia uwoga ndo kwanza umenipa hamu zaidi ya kuchunguza na kutaka kuijua physics kiundani.
Hapa nimepata morali sana nizijue hizo matopic ya Alevel.
Advanced Physics haitakag mbwembwe! Nilipiga D yangu safi ya kuingilia chuoSasa uliibuka na ngapi A-level
Advanced Physics haitakag mbwembwe! Nilipiga D yangu safi ya kuingilia chuo
Ila sitakuja sahau physics paper 3 necta 2013 ilichonifanya, nilivaa surual nyeus ila lile bao nililopiga wakat pressure imepanda bado lilionekana" that was my best ejaculation ever" mnaambiwa mnaama lab huku bado huna data hata moja
Unforgettable moment.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah zipi hizo mkuuDah...ukizijua herufi za kigiriki tu....Basi umeijua fizikia[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Beretta ARX 160
Yani huu uzi badala ya kunitia uwoga ndo kwanza umenipa hamu zaidi ya kuchunguza na kutaka kuijua physics kiundani.
Hapa nimepata morali sana nizijue hizo matopic ya Alevel.