Aeleza walivyokubaliana na mume wake kutafuta watoto nje ya ndoa

Kumbuk
Kumbuka walikubaliana kufanya hivyo. Kwa maoni yangu naona hakimu awaamuru wakakae tena kujadili matokeo ya makubaliano yao ya mwaka 2011. Wapitishe maamuzi mapya kwa pamoja then mahakama ije kuyabariki
Patachimbika, ni bora jambo likaamuliwa mahakamani
 
Wataalamu wa betting hii tuiitaje.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Haya yote ni yanatokea kutokana na sheria mbovu za ndoa, miaka mitano wametengana, bado usumbufu wa kwenda mahakamani, bado watarudi kuulizwa mlipata nini wakati mnaishi ndani ya hizo ndoa tatu. haya yangeishia kwa Mwanasheria wa Serikali basi, mambo kama haya yanawafanya watu Wengi masikini.
 
Kumbuk
Kumbuka walikubaliana kufanya hivyo. Kwa maoni yangu naona hakimu awaamuru wakakae tena kujadili matokeo ya makubaliano yao ya mwaka 2011. Wapitishe maamuzi mapya kwa pamoja then mahakama ije kuyabariki
Mkuu kumbuka wameongezeka - watoto saba na wazazi wawili- hilo ni bunge tena lenye upinzani mkali
 
Hii duniaina maajabu sana, moyo wa mwanamke tayari upo sehemu nyingine ni ngumu kurudi kwa kulaya
Labda Kullaya anachoogopa ni kwamba ikiamuliwa waachane itabidi mali zigawanywe. Na zikishagawanywa mwanaume aliyezalisha four kids anaenda kufaidi. Ndo uelewa wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…