Aeleza walivyokubaliana na mume wake kutafuta watoto nje ya ndoa

Mwanamke atachagua mwenye hela zaidi kati ya hao wawili.
 
Huyu jamaa vipi?,kwanini asimwache huyo mwanamke aolewe?..si yeye ndo alimwambia kila mtu akatafute mtoto kivyake na mwanamke kawapata wanne,,sasa nini cha ziada hadi kulazimisha arudi kuishi naye?
Jamaa kammis mke wake 😂😂😂...ila nahisi lazima jamaa hali yake kiuchumi haiko sawa
 
kuachana sio jambo la mzaha jamani,husiombe likukute...lisikie tuu kwa jirani yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…