Ni wepesi mno,ninadhani ni kampeni ilipita kipindi fulani kwamba wao ni bora zaidi ya wengine kupitia warembo,Sasa watu wakaamini hivyo.Kaaga vijiweni mjikusanye mdanganyene Rwanda wa kawaida sana m23 ilisambalatishwa na tz
Kweli mkuu vijana walifanya kazi.Nikweli lakini si uliona vijana wa Mwakibolwa walivopiga ile mission
Ndio kwa ushilikiano wa hali ya juu. Zoezi lilienda vizuriKaaga vijiweni mjikusanye mdanganyene Rwanda wa kawaida sana m23 ilisambalatishwa na tz
Unamjua mtu huyu?Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Alikua Ni Mwl wa siasa Kule monduli(lt col).Unamjua mtu huyu?View attachment 2179216
Respect yourself.Mitanganyika inasifia kila kitu cha hovyo ilimradi tu kinatoka nje.
Mitanganyika inaona Nairoib ni zaidi ya London. Mtanganyika akifika Nairobi mtaa mzima utajua atarudi kavaa cultures za Kenya na kuongea ka mkenya hata kama amekaa siku 2 tu Nairobi.
Mitanganyika inasifia wimbo wowote ule wa Nigeria hata uwe mbaya vp. Sasa nao wanaongea pidgin English. SMH
Mitanganyika sasa inasifia Rwanda sijui kwa lipi. Watu hawana sababu za msingi ila ni kusifia tu Rw ili nao waonekane wajuaji. Rw imezidiwa na mkoa mmoja tu wa TZ kwa kila kitu including intelligence na pisi. Nendeni Manyara na Singida mjionee sio kukaa tu sebleni kwa shemeji zenu na kuanza kusifia wanaume wenzenu.
Mitanganyika ya hovyo sana.
Mashori wao wazuri sana. Msema kweli mpenzi wa Mungu.Rwanda ina nini zaidi ya akiba ya mafuvu milioni moja yaliyosalia kwenye mauaji ya kimbari?
Respect yourself.
Huyo mleta mada ni Mtusi aliyekulia Tanzania miaka mingi. Kwahiyo siyo Mtanganyika huyo.
Watanganyika halisi ni sisi, Mimi, Jaji Warioba, Prof Kabudi, Marehemu Mtikila na G55.
Bongo idara iko vizur sana na wamefanikiwa sana hao Rwanda akitaka wawashe moto tiwazimeNi wepesi mno,ninadhani ni kampeni ilipita kipindi fulani kwamba wao ni bora zaidi ya wengine kupitia warembo,Sasa watu wakaamini hivyo.
Tena wana kisasi nae kilo 7. Ndio maana jamaa anaogopa kung'atuka madarakaniDaah mleta mada atakua hajui lolote kuhusu intelijensia. nchi yoyote ikikosa bandari(Landlocked) tayari inakua ni kama kiwete tu. Ndio maana Rwanda wanaiheshimu sana Tz. Maana ka nchi kama hako ukipiga lock bandari ya Dar na kuhujumu Mombasa, basi umekamaliza mchana kweupe. Wapinzani wa Kagame mpaka leo wapo kibao DRC , France,UK, France, USA na Belgium, hio intelligence ingekua kali si angekua amewamaliza?? Na bado hao wapinzani wanajua kuna siku watarudi Kigali pindi wazungu wakimchoka tu Kagame na wala sio mbali.
ki jasusi achana nao wale mkuu,wale ni ma elite spy haswa,Tena hao mademu wao ndo wabaya zaidi kwenye kitengo Cha uspy , kagame kinacho mgharimu ni idadi ndogo ya jeshi lake basi,na ka nchi kadogo!!! ,jamaa ametrain haswa ma spy wa kutosha ,Kuna unit moja ya ma spy wanawake ,kitengo ambacho Paul k,anakitumiaga kuwafyeka wanaoingia kwenye anga zake (squared killer spy unit SKSU) hawa wanadada ni vyuma haswa ,machoni utawatamani wapole na warembo haswa,Ila ni manyang'au wa kutisha,wanakutoa upepo ndani ya dakika sifuli bila tabu.Kama wanaujasusi wakutosha mbona tulisha wapiga Kongo, walipo zuga Kwa njia ya uasi wa M23, acheni Kuwa mwambafai sana,
Usichokijua Wanywaranda wengi sana, Wanaishi Tanzania.Mnawatukuza sana, hawana lolote,
Rwanda is overrated kakaBalozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Ha ha ha .eti naendazangu kijiweni kuisema serekali[emoji23]Hiyo ni political fear waliojengewa wananchi wa kule
Sirikali yao inafatilia hata mambo ya kawaida nadhani ni tahadhari ya kuogopa yasitokee yale ya 1990s..
Serikali ya tz iko vizuri sana sema haifatilii mambo ya hovyo kwa mfano hapa nimeshakula lunch nimeshiba naenda zangu kijiweni kuisema serekali..kule rwanda hata kijiweni ukianzisha mada za kuichambua serekali watu hawakujibu .. Na ukiendelea wanatawanyika
Umeandika usichokijua hata kidogo, pumbavu, M23 alipogwa na mizinga ya Watanzania, Kitu ambacho kila mtu anajua wewe mnyearwanda unakuja kukanusha leoMkuu M23 aikupigwa na tanzania pekee kikosi kiliundwa na nchi Tatu tanzania [emoji1241] Malawi [emoji1156] kwa upande wa ardhini na South africa [emoji1221] upande wa angani. all in all rwanda upande wa ujasusi yupo vizuri tena sana