Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

Kaaga vijiweni mjikusanye mdanganyene Rwanda wa kawaida sana m23 ilisambalatishwa na tz
Ni wepesi mno,ninadhani ni kampeni ilipita kipindi fulani kwamba wao ni bora zaidi ya wengine kupitia warembo,Sasa watu wakaamini hivyo.
 
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.

Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.

Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Unamjua mtu huyu?
images.jpg
 
Mitanganyika inasifia kila kitu cha hovyo ilimradi tu kinatoka nje.

Mitanganyika inaona Nairoib ni zaidi ya London. Mtanganyika akifika Nairobi mtaa mzima utajua atarudi kavaa cultures za Kenya na kuongea ka mkenya hata kama amekaa siku 2 tu Nairobi.

Mitanganyika inasifia wimbo wowote ule wa Nigeria hata uwe mbaya vp. Sasa nao wanaongea pidgin English. SMH

Mitanganyika sasa inasifia Rwanda sijui kwa lipi. Watu hawana sababu za msingi ila ni kusifia tu Rw ili nao waonekane wajuaji. Rw imezidiwa na mkoa mmoja tu wa TZ kwa kila kitu including intelligence na pisi. Nendeni Manyara na Singida mjionee sio kukaa tu sebleni kwa shemeji zenu na kuanza kusifia wanaume wenzenu.

Mitanganyika ya hovyo sana.
Respect yourself.
Huyo mleta mada ni Mtusi aliyekulia Tanzania miaka mingi. Kwahiyo siyo Mtanganyika huyo.
Watanganyika halisi ni sisi, Mimi, Jaji Warioba, Prof Kabudi, Marehemu Mtikila na G55.
 
Kagame ana wasiwasi kila saa utadhani anaoga nje.
 
Respect yourself.
Huyo mleta mada ni Mtusi aliyekulia Tanzania miaka mingi. Kwahiyo siyo Mtanganyika huyo.
Watanganyika halisi ni sisi, Mimi, Jaji Warioba, Prof Kabudi, Marehemu Mtikila na G55.

Hii trend ipo sana mitaani sio yeye tu. Watanganyika walio wengi wanaamini kila kitu cha nje ni bora kuliko chao hata mambo ya hovyo kabisa kama haya.

Mfano halisi, watanganyika wangapi wanavaa culture za Kenya mitaani afu niambie lini umewahi kuona mkenya au jirani yeyote anashobokea mambo ya bongo? Mitanganyika hovyo sana sisi.
 
Haya huwa nayaacha humuhumu,Mi nachojua ni Balozi tu.
 
Ni wepesi mno,ninadhani ni kampeni ilipita kipindi fulani kwamba wao ni bora zaidi ya wengine kupitia warembo,Sasa watu wakaamini hivyo.
Bongo idara iko vizur sana na wamefanikiwa sana hao Rwanda akitaka wawashe moto tiwazime
 
Daah mleta mada atakua hajui lolote kuhusu intelijensia. nchi yoyote ikikosa bandari(Landlocked) tayari inakua ni kama kiwete tu. Ndio maana Rwanda wanaiheshimu sana Tz. Maana ka nchi kama hako ukipiga lock bandari ya Dar na kuhujumu Mombasa, basi umekamaliza mchana kweupe. Wapinzani wa Kagame mpaka leo wapo kibao DRC , France,UK, France, USA na Belgium, hio intelligence ingekua kali si angekua amewamaliza?? Na bado hao wapinzani wanajua kuna siku watarudi Kigali pindi wazungu wakimchoka tu Kagame na wala sio mbali.
 
Tena wana kisasi nae kilo 7. Ndio maana jamaa anaogopa kung'atuka madarakani
 
Kama wanaujasusi wakutosha mbona tulisha wapiga Kongo, walipo zuga Kwa njia ya uasi wa M23, acheni Kuwa mwambafai sana,
ki jasusi achana nao wale mkuu,wale ni ma elite spy haswa,Tena hao mademu wao ndo wabaya zaidi kwenye kitengo Cha uspy , kagame kinacho mgharimu ni idadi ndogo ya jeshi lake basi,na ka nchi kadogo!!! ,jamaa ametrain haswa ma spy wa kutosha ,Kuna unit moja ya ma spy wanawake ,kitengo ambacho Paul k,anakitumiaga kuwafyeka wanaoingia kwenye anga zake (squared killer spy unit SKSU) hawa wanadada ni vyuma haswa ,machoni utawatamani wapole na warembo haswa,Ila ni manyang'au wa kutisha,wanakutoa upepo ndani ya dakika sifuli bila tabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni political fear waliojengewa wananchi wa kule
Sirikali yao inafatilia hata mambo ya kawaida nadhani ni tahadhari ya kuogopa yasitokee yale ya 1990s..
Serikali ya tz iko vizuri sana sema haifatilii mambo ya hovyo kwa mfano hapa nimeshakula lunch nimeshiba naenda zangu kijiweni kuisema serekali..kule rwanda hata kijiweni ukianzisha mada za kuichambua serekali watu hawakujibu .. Na ukiendelea wanatawanyika
Ha ha ha .eti naendazangu kijiweni kuisema serekali[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu M23 aikupigwa na tanzania pekee kikosi kiliundwa na nchi Tatu tanzania [emoji1241] Malawi [emoji1156] kwa upande wa ardhini na South africa [emoji1221] upande wa angani. all in all rwanda upande wa ujasusi yupo vizuri tena sana
Umeandika usichokijua hata kidogo, pumbavu, M23 alipogwa na mizinga ya Watanzania, Kitu ambacho kila mtu anajua wewe mnyearwanda unakuja kukanusha leo
.
 
Back
Top Bottom