Daah mleta mada atakua hajui lolote kuhusu intelijensia. nchi yoyote ikikosa bandari(Landlocked) tayari inakua ni kama kiwete tu. Ndio maana Rwanda wanaiheshimu sana Tz. Maana ka nchi kama hako ukipiga lock bandari ya Dar na kuhujumu Mombasa, basi umekamaliza mchana kweupe. Wapinzani wa Kagame mpaka leo wapo kibao DRC , France,UK, France, USA na Belgium, hio intelligence ingekua kali si angekua amewamaliza?? Na bado hao wapinzani wanajua kuna siku watarudi Kigali pindi wazungu wakimchoka tu Kagame na wala sio mbali.