Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

Waulize vizuri hao ndugu zako, wale wanajeshi waliowashambulia nduguzo walitokea na njia gani mpaka wakaanza kusaka watu kwenye malori ya kitanzania.
Ulikuwepo katika Mission au Umesimuliwa tu?
 
Usichokijua Wanywaranda wengi sana, Wanaishi Tanzania.
Na 99% yao wapo katika almost Idara zao Nyeti na Kubwa wakiendelea Kuisoma zaidi Tanzania Kiuimara na Kiudhaifu pia.
 
Tanzania ni zaidi ya tunavyoiona, Naamini Kagame mwenyewe kawekwa pale na Tanzania. Hatuna haja ya kutuma jasusi labda atumwe mtu kumkumbusha tu Kagame asijisahau.

Ni hivyo hivyo kwa Uganda na Burundi. Wote ni mamluki wa Tanzania.
 
Barozi wa Rwanda nchini Tanzania ni jenerali(mjeshi? Na sisi tumewaletea mwanajeshi Sasa
 
tusije tukampoteza major wetu .akafanye kazi za ubalozi tu,ya ufukunyuku aachame nayo.wale ni zaidi Ya maspy aise.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu pale,vijana wao walifanya mission ya kumuua mpinzani wa kagame,kule SA,wakafanikiwa,lakini wakakamatwa!wapo wanaozea jera.
Jifunze kwa Urusi,FSB/KGB ya zamani wakipiga mishe ulaya,mpaka Scotland yard au MI5,MI6(intelligence agencies za UK)zije zigundue,tayari majasusi wameishakwea pipa,hawapo,ni maiti za victim ndio zimejaa kitaa
 

Halafu hii ishu ya Rwanda kuwa ni wazuri kwa Intelligence usikute ni notion imekuzwa na mpuuzi mmoja ambae hata huko rwanda hakawaji kufika, kibaya zaid wana compare Rwanda na TZ , ni mambo ya aibu ... Rwanda kwa tanzania ni kama kijiji kidogo sana. Nadhani hata mkoa wa Kilimanjaro tu ni mkubwa kuliko Rwanda.

Kitu kimoja cha kuwasaidia, foundation ya nchi iliyoimarika kiulinzi na usalama haijengwi na kichwa kimoja, huwezi kusema Kagame ni smart ambae kazi yake kubwa ni kuuWa wapinzani na kutisha raia wenye mawazo hasi. Na hili ndio kosa la nchi za Africa, Rwanda haina chochote cha kuchunguza , kwa akili za Kagame , Hata TZ Asingeweza kuongoza. Mnaikuza sana Rwanda pasipo kuwa na full information.

Hakuna nchi stable inayoongozwa na kichwa kimoja Then ikawa na Strong security state hasa kwa Africa , Kagame is old na anaprotect ugali wake , Hana cha maana zaid ya ukatili kwq wapinzani wake
 
Na ndiyo maana kila mara tu nawaonyeni hapa kuwa Tanzania msijidanganye mnaweza 'battle' na Rwanda kwani hamtoamini Macho na Masikio yenu.

Wewe akili huna , trust it . Na hata kuendelea kuchangia uzi wako ni kupoteza Muda . Huna data but unaongea kwa story za vijiweni na Blah Blah . Nilitegemea kuona unakuja na data dhidi ya claims zako kuwa Rwanda ni Strong In EACs kwa kuwa wana bajeti kubwa ya jeshi kushinda nchi yoyote , wana active solders wangapi, wana technology mpya ya kijeshi, wana vifaa vya aina gani vya kijeshi.
Intelligence yao imekuwa automated kwa asilimia Ngapi .... etc etc

Badala yake unaandika maneno maneno huku ukionesha huna hoja ya msingi zaidi ya kupotezea watu Muda. Kuchangia uzi wako ni kupoteza Muda ,
 
Kumbe nawe ni kipua [emoji3]
 
Hakuna kitu kuhusu Rwanda ni kigeni kwa TZ
 
Mh mkuu yaan mtu aifananishe Nairobi na London ? Avha utani na maisha ww ....
 
Halafu na wewe kwa kujitia mjuaji kila kitu hujambo.Halafu uko.negative tu .

Balozi ukiona nchi anayopelekwa kapokelewa ujue wamemkubali

Sijui wewe kwa nini muda wote unakuwa na chuki na Tanzania wakati unakula ba kuishi Tanzania si uende huko kwenu Rwanda kinachokukalisha Tanzania nini nenda kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…