GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #81
Unauliza au Unasisitiza?Balozi ni jasusi!!...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza au Unasisitiza?Balozi ni jasusi!!...
Ulikuwepo katika Mission au Umesimuliwa tu?Waulize vizuri hao ndugu zako, wale wanajeshi waliowashambulia nduguzo walitokea na njia gani mpaka wakaanza kusaka watu kwenye malori ya kitanzania.
Kipindi cha kikwete, walitaka kuleta mdomo, mizinga mitano tu ilitosha kuwanyazisha.Ulikuwepo katika Mission au Umesimuliwa tu?
Mr. Tezi Dume.Unamjua mtu huyu?View attachment 2179216
Na 99% yao wapo katika almost Idara zao Nyeti na Kubwa wakiendelea Kuisoma zaidi Tanzania Kiuimara na Kiudhaifu pia.Usichokijua Wanywaranda wengi sana, Wanaishi Tanzania.
Hakuna kitu pale,vijana wao walifanya mission ya kumuua mpinzani wa kagame,kule SA,wakafanikiwa,lakini wakakamatwa!wapo wanaozea jera.tusije tukampoteza major wetu .akafanye kazi za ubalozi tu,ya ufukunyuku aachame nayo.wale ni zaidi Ya maspy aise.
Sent using Jamii Forums mobile app
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Na ndiyo maana kila mara tu nawaonyeni hapa kuwa Tanzania msijidanganye mnaweza 'battle' na Rwanda kwani hamtoamini Macho na Masikio yenu.
= Balozi.Baroziwa Rwanda nchini Tanzania ni jenerali(mjeshi? Na sisi tumewaletea mwanajeshi Sasa
Kumbe nawe ni kipua [emoji3]Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Hakuna kitu kuhusu Rwanda ni kigeni kwa TZBalozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Wako vizuri kuwatumia watoto wao wa kike kukusanya taarifa.
Mh mkuu yaan mtu aifananishe Nairobi na London ? Avha utani na maisha ww ....Mitanganyika inasifia kila kitu cha hovyo ilimradi tu kinatoka nje.
Mitanganyika inaona Nairoib ni zaidi ya London. Mtanganyika akifika Nairobi mtaa mzima utajua atarudi kavaa cultures za Kenya na kuongea ka mkenya hata kama amekaa siku 2 tu Nairobi.
Mitanganyika inasifia wimbo wowote ule wa Nigeria hata uwe mbaya vp. Sasa nao wanaongea pidgin English. SMH
Mitanganyika sasa inasifia Rwanda sijui kwa lipi. Watu hawana sababu za msingi ila ni kusifia tu Rw ili nao waonekane wajuaji. Rw imezidiwa na mkoa mmoja tu wa TZ kwa kila kitu including intelligence na pisi. Nendeni Manyara na Singida mjionee sio kukaa tu sebleni kwa shemeji zenu na kuanza kusifia wanaume wenzenu.
Mitanganyika ya hovyo sana.
Halafu na wewe kwa kujitia mjuaji kila kitu hujambo.Halafu uko.negative tu .Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.