Afande akifurahia hotuba ya Tundu Lissu kuhusu No Reforms No Elecetion

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,555
Reaction score
4,085
Askari wa Jeshi la Polisi, akifurahia hotuba ya Lissu kuhusu No Reforms No Election ambapo Lissu amegusia pia namna maaskari na watumishi wengine wa umma wanavyokutana na kikotoo baada ya kustaafu.

Kila mmoja atafikiwa tu na Lissu kwa namna yake. Lissu ndio habari ya nchi kwa sasa
 
Alikuwa anaona jinga moja linajidanganya na kudanganya umma

USSR
 
Utamponza huyo mwamba bro, watamla kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…