Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

Na visasi havilipi kurejesha loss
 
Ila mkuu kongo wanachinja watusi kama kuku na huna pa kwenda kushitaki
Hata wao wanachinja wahutu.Kesi hizo waga haziendi MAHAKAMANI wanamalizana kienyeji kwa mitutu ya bunduki hata ipite miaka mia moja waga visasi wanalipizana.Ndio utamaduni wa wanyarwanda
 
Stupid
 
Kuja kwa Kamala Harris na M23 walisitisha mapambano kwa kupewa bulungutu la hela na mzee wa ug

Yaani kwa kujionyesha kuwa wamewadhibiti wakaamua kuwapa hela ili waache vurugu kwa mda kiasi VP Harris anazunguka kwa majirani

Hii vita haitaisha na Paka ni muoga sana kwa kulinda maslahi ya familia yake ndio maana anataka kuwaweka madarakani akijua fika hawezi kuishi milele

Sote tutakufa ila wao wanakufa huku wakifikiri wanawatengenezea njia watoto wao kwa kutawala milele huku wakirithishana

Hata Qusey na Udey waliuwawa
 
Mkuu hiyo code PAKA🤣🤣🤣 umetisha sana mzee.Rwanda waga hawarithishani madaraka,mtutu wa bunduki ndio waga unaamua mshindi.Kama Ivan ana mpango wa kurithi kutoka kwa afande,kama alivyorithishwa Kabila mdogo wa Congo DRC basi kazi ipo🤣🤣🤣
 
Dahh Qusey na Udey wazembe tu,si wangekimbilia Jordan au Iran.
 
[emoji1] [emoji1787] [emoji23]
Kama ni hivyo basi Slim anajidanganya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…