Afande Majaliwa wa Precision Air ateguka bega akiokoa waliofukiwa kifusi Kariakoo

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Unamkumbuka yule aliyekuwa mvuvi kijana Majaliwa aliyeokoa wahanga wa ajali ya ndege ya precision.

Baada ya lile tukio alipelekwa kwenye mafunzo ya kijeshi kikosi cha uokoaji.

Sasa hii ajali ya uokozi kila aliyeonekana anaweza kusaidia aliitwa akiwemo afande Majaliwa,katika jitihada za uokozi amejikuta akiteguka bega la mkono wa kulia na kurudi nyumbani

Kifusi sio maji,mwakinyo mwenyewe kakimbia

Pole kwake shujaa
 
Kwa hiyo yeye ndo ana nyota ya uokozi, kila pahala penye maafa ya yupo.
 
Sasa hii ajali ya uokozi kila aliyeonekana anaweza kusaidia aliitwa akiwemo afande Majaliwa,katika jitihada za uokozi amejikuta akiteguka bega la mkono wa kulia na kurudi nyumbani
Sio kila anayeonekana anaweza kusaidia 'aliitwa'

Kama huyo dogo yupo zimamoto na uokoaji ni jukumu lao la uokozi na sio kwa sababu ana "uspesho" wa kuitwa ndo a-make appearance.

Ni simple and clear, yupo zimamoto na uokoaji, janga limetokea wamechukuliwa yy na askari wenzake wa zimamoto kwenda kushughulikia tukio
 
Uko sahihi alikuwa kazini,lakini kikosi chao wapo wengi,zali lilimdondokea bahati mbaya bega kwachu
 
Nasikia na Ali kiba naye kajipeleka kujaribu kutindua zege, kagonga nyundo tatu, akachoka akakimbia que que que 😁
 
Pole kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…