Afande Majaliwa wa Precision Air ateguka bega akiokoa waliofukiwa kifusi Kariakoo

Afande Majaliwa wa Precision Air ateguka bega akiokoa waliofukiwa kifusi Kariakoo

Unamkumbuka yule aliyekuwa mvuvi kijana Majaliwa aliyeokoa wahanga wa ajali ya ndege ya precision.

Baada ya lile tukio alipelekwa kwenye mafunzo ya kijeshi kikosi cha uokoaji.

Sasa hii ajali ya uokozi kila aliyeonekana anaweza kusaidia aliitwa akiwemo afande Majaliwa,katika jitihada za uokozi amejikuta akiteguka bega la mkono wa kulia na kurudi nyumbani

Kifusi sio maji,mwakinyo mwenyewe kakimbia

Pole kwake shujaa
Acha uongo, weka picha
 
Back
Top Bottom