Afande Majaliwa wa Precision Air ateguka bega akiokoa waliofukiwa kifusi Kariakoo

Wote hamkuwa na ndugu aliyenaswa huko kariakoo. Mngekuwa na ndugu nadhani ungesifu jitihada zilizofanywa badala ya kukebehi.

Tuwape manusura pole na tuwaombee pumziko Jema waliopteza maisha
 
He was doing his job, just kama wahusika wengine kuna risk zinakuja na kazi hiyo. Nothing special
 
Mkuu hata kwenye maji aligongwa na mlango wa ndege akazimia. So ni ajali kazini mkuu
 
Kakifusi ka ghorofa nne wiki nzima npaka watu wanafiamo humo kwa kumosa hewa,niseme tu mimi binafsinimeona serikali ikifanya mzaha kwenye hili zoezi
Wakifukua unavyo taka wewe asinge salimika mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…