Afande Majaliwa wa Precision Air ateguka bega akiokoa waliofukiwa kifusi Kariakoo

Kuna mmoja ameopolewa kuwa maiti kwa kukosa pumzi
😒 Inauma sana! Unakufa ukiwa unaona kabisa nakufa.

Ingekuwa ghorofa kubwa zaidi tungepoteza watu wengi sana aisee.
 
Ana nyota ya samaki kupiga mbizi tu....
pole sanaa MUNGU ampe nafuu apone....
 
Ukiacha uongo uongo wake mzee kasim huwa hana noma na mtu.sijawahi kusikia akitukana waounzani au waluo na mawazo kinzani
Mzee kasimu huwa nahisi anatumwa kusema uongo na sirikali maana kuna kauli tata wa kutoa anakosekana sio prezda wala deputy
 
Maisha magumu na umasikini ulikithiri nimeamini hufanya akili kutokuwa na uwezo mzuri kufikiri, moyo kujaa chuki na wivu uliopitiliza bila sababu.
Ukipitia comments za watu ndo unajua kuna watu wanaishi maisha magumu hadi unawaonea imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…