zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Umesema nani?Mbwa Muliro umri wa kustafu bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema nani?Mbwa Muliro umri wa kustafu bado
Ifute bwana sijaandika hivyoUmesema nani?
Nani kaandika wewe?Ifute bwana sijaandika hivyo
Umesema?Nimeandika mbwa Murilo
Unadhani kati ya CDM na wauwaji na watekaji nani anachezea Amani ya TaifaNdugu zangu Watanzania,
Sitaki kuwa na Maneno Mengi.ila nawasogezeeni habari hii kuwa kamanda wa Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam SCAP Jumanne Mulilo,amesema ya kuwa hakuna maandamano yatakayofanyika Dar es salaam.na kwamba Atakayethubutu Kuandamana atakiona .
Mimi Mwashambwa Lucas ,siandiki mengi sana ila nitaandika kesho pale ambapo atajitokeza mtu kuandamana katika maandamano haramu na yaliyopigwa marufuku. Nawaonea huruma sana ambao watajitoa akili na kuingiza pua zao barabarani.kwa hakika watatamani siku hiyo isingekuwepo na watailaani siku hiyo.
Nawaambieni tena chezeni na vyote lakini msichezee na amani ya Taifa letu na wala msichezee wala kuigusa siku ya kesho kwa kuingia barabarani.mtajuta majuto ya Karne.View attachment 3103675
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe kama naniOle wako uandamane kesho utakiona cha mtema kuni
mbona hamkuandamana walipotekwa watu na kuuliwa huku Zanzibar ?? na bado kumewekwa wale Mazombie na hamsemi kitu ?? mliona raha mkaona wacha wazanzibari wafe , leo yanawakuta mnaanza kupiga kelele. Mkuki kwa nguruwe tu ??Mbona kama mna hasira?
Mlitaka mteke na kuuwa watu halafu wakae kimya?
We utakuwa umetoroka Mirembe.mbona hamkuandamana walipotekwa watu na kuuliwa huku Zanzibar ?? na bado kumewekwa wale Mazombie na hamsemi kitu ?? mliona raha mkaona wacha wazanzibari wafe , leo yanawakuta mnaanza kupiga kelele. Mkuki kwa nguruwe tu ??
Mkiambiwa nyoka yuko Zanzibar mkisema naapite Leo nyoka yuko TanganyikaWe utakuwa umetoroka Mirembe.
Wanajeshi huwaita police, "Raia wakakamavu"Aache mabiti yeye mwenyewe ni raia tu
Na mamako na babako wanaandamna não ni KENGE kama KENGE 😅🤔🤣😅🤔🤣Vunja Miguu kenge hao
Kama wewe unavyowasikiliza wapumbavu Mbowe na wenzakeSioni shida kusoma maoni yako maana hata mpumbavu naye ana haki ya kusikilizwa
Maandamano ni haki ya kikatiba. Unapigaje marufuku haki ya kikatiba?WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo .
Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa amani Nchini.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa Kauli hiyo leo Jumapili Septemba 22.2024) kuwa Jeshi hilo lilipokea taarifa ya chama hicho kuhusu dhamira ya kufanya maandamano hayo, taarifa ambayo ilijibiwa kwa kuelezwa kuwa maandamano husika yamepigwa marufuku hivyo yeyote atakayefanya kinyume na hapo atashughulikiwa kikamilifu kwa mujibu wa sheria
Hata hivyo alisema kumekuwa na kauli zinazoashiria wazi kuwa maandamano hayo yana lengo la kuvuruga amani nchini kutokana na kauli tofauti zinazotolewa na viongozi wa CHADEMA na kwamba Jeshi la Polisi kama wasimamizi wa sheria na wenye jukumu la kuhakikisha ulinzi wa raia na mali zao (amani) hawako tayari kuruhusu kufanyika kwa matukio ya namna hiyo
"Maandamano yale yamepigwa marufuku, wao wametoa taarifa na sisi tumewapa taarifa, kwa hiyo wakifanya kinyume sasa tutachukua hatua kali za kisheria za kuyazuia na kushughulika na watu watakaojihusisha na maandamano hayo vikali na kwa mujibu wa sheria" -SACP Muliro
Hata hivyo Muliro aliwataka wananchi kutohudhuria maandamano hayo kwa kuwa yamepigwa marufuku, na kwamba marufuku hiyo imetokana na kauli na matamko ynayotolewa na viongozi wa chama hicho hivyo kudai kuwa maandamano hayo hayatakuwa ya amani kama inavyoelezwa badala yake dhamira ya maandamano hayo ni kuvuruga amani
"Jeshi la Polisi kama taasisi tumeshatoa tamko kwamba watu wasishiriki, wasijitokeze kwenye maandamano hayo, lakini watu wema waendelee na shughuli zao za kawaida mbalimbali za ujenzi wa Taifa, ujenzi wa kiuchumi na masuala mengine ambayo yanasaidia watu kujenga ustawi wa maeneo yao" -SACP Muliro
Mapema leo Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo ( CHADEMA)Taifa Freeman Mbowe kupitia mitandao ya kijamii akisisitiza uwepo wa maandamano kesho jumatatu .
Mbowe ametoa Msimamo huo wakati akizungumzia Msimamo wa CHADEMA kupitia 'X space' leo, Jumapili Septemba 22.2024 Mbowe amesema kuwa maandamano hayo yatahusisha njia mbili ambazo ni Magomeni kupitia Barabara ya Morogoro mpaka viwanja vya Mnazi mmoja na njia ya pili ni ile inayotoka Ilala Boma Sokoni kupitia Barabara ya Uhuru mpaka viwanja vya Mnazi mmoja, ambapo kwa lugha rahisi viwanja vya Mnazi mmoja ndipo sehemu ya makutano ya maandamano hayo
Mbowe amesema maandamano hayo yanatarajiwa kuanza majira ya saa 03 asubuhi, hivyo kutoka wito kwa wafuasi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla wake kujitokeza kwa wingi kushiriki bila woga wowote kwa kuwa maandamano hayo ni ya amani.
Soma Pia:
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
Source: Matukio Daima
Muliro amuulize Mahita pamoja na ngebe yupo wapi sasa hivi? wanabdilisha pampasi kila baada ya robo saa. Mungu hadhiakiwi.CCM na serikali yake, hawakutarajia hali ingekuwa hivi.
Hao ni raia tuWanajeshi huwaita police, "Raia wakakamavu"