Unadhani kati ya CDM na wauwaji na watekaji nani anachezea Amani ya Taifa
 
Tukipata Mkate Leo tutatobolewa machooo... Vyombo vyote vya habari «Waandamana kwa sababu mkate umepanda bei kwa shilingi 100"
 
Mbona kama mna hasira?

Mlitaka mteke na kuuwa watu halafu wakae kimya?
mbona hamkuandamana walipotekwa watu na kuuliwa huku Zanzibar ?? na bado kumewekwa wale Mazombie na hamsemi kitu ?? mliona raha mkaona wacha wazanzibari wafe , leo yanawakuta mnaanza kupiga kelele. Mkuki kwa nguruwe tu ??
 
We utakuwa umetoroka Mirembe.
 
Maandamano ni haki ya kikatiba. Unapigaje marufuku haki ya kikatiba?

What's next, watapiga marufuku kupiga kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…