Sasa mtu wa caliber hii unategemea ataongea nini zaidi ya manguvu na vitisho? Kuna haja ya kureview qualifications za hawa viongozi na kuweka standards na wapate interview kabla ya kupewa madaraka haya yasiyohojiwa, na kila mwaka wapimwe kwa performance baada ya kupewa malengo ya mwaka kama kada zingine
 
Chadema wanazidiwa mbinu za maandamano na mama wa kimasai wa mbuyuni monduli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…