Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,914
Amani ipi mkuu watu wanauliwa na hawakamatwi tunaishia kuambiwa ni watu wasiojulikana, sasa watu wakiongea unasema wanahatarisha amani na kutaka kuzuia watu wasiongelee hayo mauwaji ila hao hao polisi wanashindwa kuzuia haya mauwaji yanayoendelea.Gwajima aache kuhamasisha vurugu nchini, Polisi wanaona unahatariisha amani nchini.
Sasa hapo kuna sura ya amani kweli?