Amani ipi mkuu watu wanauliwa na hawakamatwi tunaishia kuambiwa ni watu wasiojulikana, sasa watu wakiongea unasema wanahatarisha amani na kutaka kuzuia watu wasiongelee hayo mauwaji ila hao hao polisi wanashindwa kuzuia haya mauwaji yanayoendelea.Gwajima aache kuhamasisha vurugu nchini, Polisi wanaona unahatariisha amani nchini.
Tumia akili dogokwani ni yeye au wanaufaka wa urais wake..ye ajuza kajichokea..ila watoto na mashemeji sasa....
Anayehamasisha vurugu ni Samia kwa kuwatumia msajili na vimbwenerehi wengine ie polisi,wanaoonekana na wasioonekana.Gwajima aache kuhamasisha vurugu nchini, Polisi wanaona unahatariisha amani nchini.
Kukemea utekaji na mauaji ya watu wasiyo kuwa na hatia ni kuhamasisha vurugu???Gwajima aache kuhamasisha vurugu nchini, Polisi wanaona unahatariisha amani nchini.
kuna mkubwa zaidi ya Mungu wewe nao wakubwa wako mwishowenu ni kuoza na kunukaGwajima ni mtu mdogo sana. Hajijui tu.
Kufuta yote ni kuadhibu na wasio kuwa na hatia, wafanye kuchunguza yanayo potosha, wayachukulie hatua.Makanisa yote ya manabii yafutwe,makanisa yanayouza chumvi,mafuta, udongo na maji yafutwe
Tunakataa utekaji na kupotezwa na mamlakaGwajima aache kuhamasisha vurugu nchini, Polisi wanaona unahatariisha amani nchini.
Hivi zinashingapi kama zileAisee unakuwa na drone kama za IDF zile
Microsonic speed 🚄Mpaka wiki Ijayo, Tanzania tutakuwa tumeshafika December, maana Nchi inaenda Kwa kasi sana.
Kabla yeye hajaokota,Utaokota wewe.Samia amechanganyikiwa maskini by 2030 ataokota makopo barabarani 🤣😂
Thubutu yake ...........kama kweli wanaweza waanze na mwamposa............ndio nitaujua ukweliMakanisa yote ya manabii yafutwe,makanisa yanayouza chumvi,mafuta, udongo na maji yafutwe
Kila mtu mwenye mwili wa nyama ataoza na kunuka. Lakini maadam bado tupo hai, LAZIMA kutiana adabu!kuna mkubwa zaidi ya Mungu wewe nao wakubwa wako mwishowenu ni kuoza na kunuka
Litatokea ndugu,ngoja tu uchaguzi upiteMimi napenda katikati ya haya basi litokee kama lililomkuta Magufuli tarehe 17.
Gwajima aache kuhamasisha vurugu nchini, Polisi wanaona unahatariisha amani nchini.
Mkishalipwa elfu 20 mnakuja kujamba jamba huku 🤣 fala wewe tairaaaaaKabla yeye hajaokota,Utaokota wewe.
Nani anahatarisha kati ya anayeteka watu na anayehoji kwanini wanateka watu?Gwajima aache kuhamasisha vurugu nchini, Polisi wanaona unahatariisha amani nchini.