Afande Muliro: Jeshi la Polisi limewachukua 'Watu kadhaa' katika Kanisa la Askofu Gwajima

Hao ndiyo basi tena. Hawataonekana tena hata unywele
 
Wanajitoa akili TU ila muda si mrefu tutasikia limefunguliwa😆😆😆 serikali ya Tanzania inavyopenda vya kuombeleza hasa pesa ni chap TU wanaachilia. Kama Diaspora wananyima uraia pacha ila mambo ya pesa wanakaribishwa🤣🤣🤣🤣
 
Kufunga Kanisa imekua haraka sana Serikali ingempa Onyo kali sana
 
Moja ya makamanda wa polisi wa hovyo kuwahi kutokea nchini, huyu jamaa nadhani yupo kwenye 10 bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…