Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp kuhusu yule daktari
Hatari sana jirani!Hatari..
Mambo magumu hayo. Hasa yakiungwa mkona na magharibi..Hatari sana jirani!
Aah yule cocacola 😁Kuna mtu namsubiri aje hapa
Akija ntawaambia
Shabiki wa haya Mambo toka songea
Yanasikitisha sanaMambo magumu hayo. Hasa yakiungwa mkona na magharibi..
Ulimuona ?Ni yeye bhana
Afande Rama ameachiwa huru baada ya hakimu wa mahakama hiyo, Khamis Simai kudai kuwa mshtakiwa hana hatia chini ya kifungu cha 220 ya sheria namba 7 ya mwaka 2018.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
HuyohuyoAah yule cocacola [emoji16]
Sorry,Mahakama ya Mkoa wa Vuga mjini Unguja imemwachia huru mshtakiwa Ramadhan Ali maarufu kama Afande Rama aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya kuingiliwa kinyume na maumbile.
Afande Rama ameachiwa huru baada ya hakimu wa mahakama hiyo, Khamis Simai kudai kuwa mshtakiwa hana hatia chini ya kifungu cha 220 ya sheria namba 7 ya mwaka 2018.
Kesi hiyo namba 59 ya mwaka 2023 ilianza kusikilizwa mahakamani hapo ambapo jumla ya mashahidi tisa kutoka upande wa mwendesha mashtaka waliwasilisha ushahidi wao ambao hawakuweza kumtia hatiani mtuhumiwa.
Ramadhani ambaye ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, alishtakiwa baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii zilizodhaniwa kuwa ni yeye ambaye alionekana akishiriki tendo la kuingiliwa kinyume na maumbile.
Pia Soma:
Ameachiwa kuwa hana hatia kwa sheria ya kifungu alichoambiwa kavunja. Sijui umeelewa?Sorry,
Kaachiwa kwamba sio yeye wa kwenye zile video?
Au ni yeye ila ki huko kwao kufanya vile sio kosa?
Alieelewa hapa anisaidie