Afande Rama aachiwa huru, Jamhuri yashindwa kutoa uthibitisho. Amwaga chozi mahakamani

Najiuliza huyu dactari aliyesema eti kuna uwazi sehem ya nyuma .... kwani kila binadamu c ana uwazi sehem ya nyuma ameshindwa kuthibitisha kuwa mtuhumiwa ana ingiluwa kinyume na maumbile ... au dactari naye yumo ..... majibu ya dactari yalisha nipa wasi wasi tangu mwanzo
 
Huyo Afande Rama alipwe haki zake zote na astaafishwe kwa manufaa ya umma.
Apewe mishahara yake yote na haki zake zote hadi anastaafu.

Amesha lichafua Jeshi la Polisi na hawezi kuheshimika tena.

Nawasilisha.
 
Inamaana hata ule ushahidi wa daktari haukufua dafu!!
 
Nimesoma taarifa kwenye media kuwa yule Afande aliyetuma clip yake akifanya vitendo vya kishoga eti ameachiwa huru.

Bahati mbaya haijaelezwa sababu za kuachiwa kwake ndio maana wengi tumepigwa na butwaa kutokana na jinsi ushahidi ulivyokuwa wazi.

Kwa kweli kwenye haya masuala machafu ya aina hii sijawahi kuwaamini hawa ndugu zetu ndio maana nadiriki kusema Usodoma na Ugomora upo kule NA SIO SEHEMU SALAMA KUPELEKA VIJANA WETU KWENDA HUKO AU KUISHI HUKO
 
Yakijengwa makanisa wanaandamama lkn dume kupigwa mpini kwao ni sunna, huu muungano unapitia majaribu sana
 
Kuwa na video siyo kazi kazi ni kuthibitisha yule anayefirw* kwnye ile video ni yeye,kuprove electronic ni kazi sana mbaya zaidi alijirekodi yy mwnyewe au huyo firauni mwenzie!!
 
Nimesoma taarifa kwenye media kuwa yule Afande aliyetuma clip yake akifanya vitendo vya kishoga eti ameachiwa huru.

Bahati mbaya haijaelezwa sababu za kuachiwa kwake ndio maana wengi tumepigwa na butwaa kutokana na jinsi ushahidi ulivyokuwa wazi.

Kwa kweli kwenye haya masuala machafu ya aina hii sijawahi kuwaamini hawa ndugu zetu ndio maana nadiriki kusema Usodoma na Ugomora upo kule NA SIO SEHEMU SALAMA KUPELEKA VIJANA WETU KWENDA HUKO AU KUISHI HUKO
Unaprove vipi yule unayemuona kwnye video ndo yeye?? Siyo suala la kuona picha tu bdo likufanye uruke ktk hitimisho,kesi zinazohusu technelojia uamuzi wake unahotaji technolojia zaidi au ushahidi wa wazi zaidi ikiwemo mashahidi walioona tukio au mazingira na si kutegemea video aliyerokodi mwenyeww au bashawake!!
 
Mahakama ya Mkoa wa Vuga mjini Unguja imemwachia huru mshtakiwa Ramadhan Ali maarufu kama Afande Rama aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya kuingiliwa kinyume na maumbile.

Afande Rama ameachiwa huru baada ya hakimu wa mahakama hiyo, Khamis Simai kudai kuwa mshtakiwa hana hatia chini ya kifungu cha 220 ya sheria namba 7 ya mwaka 2018.

Kesi hiyo namba 59 ya mwaka 2023 ilianza kusikilizwa mahakamani hapo ambapo jumla ya mashahidi tisa kutoka upande wa mwendesha mashtaka waliwasilisha ushahidi wao ambao hawakuweza kumtia hatiani mtuhumiwa.

Ramadhani ambaye ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, alishtakiwa baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii zilizodhaniwa kuwa ni yeye ambaye alionekana akishiriki tendo la kuingiliwa kinyume na maumbile.

Pia Soma:
da!!! noma sana!!
 
Wangempa hata vyakula vya kumvimbisha tumbo kama vile maharage na mtindi halafu ajambe akiwa uchi. Hapo wangepata jibu
 
Mahakama ya Mkoa wa Vuga mjini Unguja imemwachia huru mshtakiwa Ramadhan Ali maarufu kama Afande Rama aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya kuingiliwa kinyume na maumbile.

Afande Rama ameachiwa huru baada ya hakimu wa mahakama hiyo, Khamis Simai kudai kuwa mshtakiwa hana hatia chini ya kifungu cha 220 ya sheria namba 7 ya mwaka 2018.

Kesi hiyo namba 59 ya mwaka 2023 ilianza kusikilizwa mahakamani hapo ambapo jumla ya mashahidi tisa kutoka upande wa mwendesha mashtaka waliwasilisha ushahidi wao ambao hawakuweza kumtia hatiani mtuhumiwa.

Ramadhani ambaye ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, alishtakiwa baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii zilizodhaniwa kuwa ni yeye ambaye alionekana akishiriki tendo la kuingiliwa kinyume na maumbile.

Pia Soma:
zanzibar kweli mliamini atafungwa? sehemu ambayo ni sodoma na gomora ya wataliii, ushoga upo wazi na watu hawaoni ajabu though wakija in public wanajifanya wanaupinga na ni watu wa dini? mpemba gani asiye.....?
 
Now for some reason I fit in the police like one of them round pegs. It's not really hard. You just make your bed real neat and remember to stand up straight and always answer every question with "Yes, drill sergeant."
 
Back
Top Bottom