Afande Rama aachiwa huru, Jamhuri yashindwa kutoa uthibitisho. Amwaga chozi mahakamani

Yale yale ya gwajiboy kusema ule ni mkono wa baunsa na waumin wakakubal [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afande Rama ameachiwa huru baada ya hakimu wa mahakama hiyo, Khamis Simai kudai kuwa mshtakiwa hana hatia chini ya kifungu cha 220 ya sheria namba 7 ya mwaka 2018.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila mkuu mahakama ni kucheza na ushahid tuh.yaani sio sehem ya haki inategemea unayemshtak kajipanga vip na ww unaeshtak umepanga vip ushahid.hakuna kuhukum kwa hisia.ndio hapa unakuta ile kauli ya kua si kila anaeenda jela anahatia
 
Sorry,
Kaachiwa kwamba sio yeye wa kwenye zile video?
Au ni yeye ila ki huko kwao kufanya vile sio kosa?

Alieelewa hapa anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…