bestchoicetz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2023
- 383
- 875
Vidole viwili sasa hivi labda havipiti tena, hii nchi ngumu nyie.
Huu uzi ni invalid hadi cocastic atoe comment yake !Kuna mtu namsubiri aje hapa
Akija ntawaambia
Shabiki wa haya Mambo toka songea
Toka enzi za akina aunt Muddy, Farok wa chakachaHamna kitu nchi hii ushoga ulikuwepo na utaendelea kuwepo
Na sahivi kizaZ hiki cha singeli na wasanii mashoga wamejaa
Ova
Unaprove vipi yule unayemuona kwnye video ndo yeye?? Siyo suala la kuona picha tu bdo likufanye uruke ktk hitimisho,kesi zinazohusu technelojia uamuzi wake unahotaji technolojia zaidi au ushahidi wa wazi zaidi ikiwemo mashahidi walioona tukio au mazingira na si kutegemea video aliyerokodi mwenyeww au bashawake!!Nimesoma taarifa kwenye media kuwa yule Afande aliyetuma clip yake akifanya vitendo vya kishoga eti ameachiwa huru.
Bahati mbaya haijaelezwa sababu za kuachiwa kwake ndio maana wengi tumepigwa na butwaa kutokana na jinsi ushahidi ulivyokuwa wazi.
Kwa kweli kwenye haya masuala machafu ya aina hii sijawahi kuwaamini hawa ndugu zetu ndio maana nadiriki kusema Usodoma na Ugomora upo kule NA SIO SEHEMU SALAMA KUPELEKA VIJANA WETU KWENDA HUKO AU KUISHI HUKO
Dr yupo salama kbs anawasalimia sanaVp kuhusu yule daktari
da!!! noma sana!!Mahakama ya Mkoa wa Vuga mjini Unguja imemwachia huru mshtakiwa Ramadhan Ali maarufu kama Afande Rama aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya kuingiliwa kinyume na maumbile.
Afande Rama ameachiwa huru baada ya hakimu wa mahakama hiyo, Khamis Simai kudai kuwa mshtakiwa hana hatia chini ya kifungu cha 220 ya sheria namba 7 ya mwaka 2018.
Kesi hiyo namba 59 ya mwaka 2023 ilianza kusikilizwa mahakamani hapo ambapo jumla ya mashahidi tisa kutoka upande wa mwendesha mashtaka waliwasilisha ushahidi wao ambao hawakuweza kumtia hatiani mtuhumiwa.
Ramadhani ambaye ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, alishtakiwa baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii zilizodhaniwa kuwa ni yeye ambaye alionekana akishiriki tendo la kuingiliwa kinyume na maumbile.
Pia Soma:
Wangempa hata vyakula vya kumvimbisha tumbo kama vile maharage na mtindi halafu ajambe akiwa uchi. Hapo wangepata jibuUnaprove vipi yule unayemuona kwnye video ndo yeye?? Siyo suala la kuona picha tu bdo likufanye uruke ktk hitimisho,kesi zinazohusu technelojia uamuzi wake unahotaji technolojia zaidi au ushahidi wa wazi zaidi ikiwemo mashahidi walioona tukio au mazingira na si kutegemea video aliyerokodi mwenyeww au bashawake!!
zanzibar kweli mliamini atafungwa? sehemu ambayo ni sodoma na gomora ya wataliii, ushoga upo wazi na watu hawaoni ajabu though wakija in public wanajifanya wanaupinga na ni watu wa dini? mpemba gani asiye.....?Mahakama ya Mkoa wa Vuga mjini Unguja imemwachia huru mshtakiwa Ramadhan Ali maarufu kama Afande Rama aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya kuingiliwa kinyume na maumbile.