Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

Ina maana katika vituko vyote vya Afande sele hiki kituko ndio kimeshangaza sana kuliko kile alichovua nguo na kubaki na boxer??
 
Mkuu hii ya wao kutobolewa ili kupigwa muhuri ina ukweli. Cause kuna mwingine naye nimemsikia majuzi anaeleza hii.
Japo yeye hajauza unga. Ila katika initiation yao alichomwa muhuri.
 
atakapogundua kuwa na hicho anachoabudu si cha kweli ataanza kumwabudu E.N. Lowassa fisadi nyangumi
 
lini Afande sele aliwahi kuwa Islamu..?
 
Yeye c wa kwanza kuabudu jua tena kwa 7bu hizohizo,,, wala c wa kwanza kuabudu anachokiona ndo mana ikaja ile kauli ya
""" seeing is believing """". Pure Masonic statement ,
 
Kuna siku niliona uzi uku mwana jukwaa akieleza makao ya mungu ni kwenye jua usikute afande sele aliona ule uzi na akaamini kwasababu jamaa alishusha nondo sana
 
We mama acha ukali kama upo mwezini, USIJITIE kuleta ufundi huu mchezo hautaki hasira
si tatizo lako yamkin hata baba yako unaweza ukamfanisha na dada yako, ni tatizo la ubongo wako kukubali kuchanganywa pamoja na moshi
 
uzuri ukweli ana ujua ameamua kufanya kiburi ngoja tusubr tutaona live mwisho wake wa kikafiri kama ndicho anacho abudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…